Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,060
Huyu ndie aliyekimbia na masanduku ya kura na Polisi wakawa wanamwangalia tu. Na Leo anafanyia mkutano kituoni wanamwangalia tu, kesho hatujui atafanya nini
Kwani ni kosa????
Dah hata msaada aliotoa katika kituo hicho mnaudhihaki mbona hamna jema kwenu hicho kituo kafanikisha kukifanyia renovation kawawekea hadi ac na kiyoyozi madirisha ya Vioo na Seli yenye choo
'mnakimbiliaga wapi jupenda maana yake nini sasa...'
inaelekea ni uzinduzi wa kituo cha polisi kipya na kuhamasisha polisi jamii. sioni tatizo raia kujichanganya na polisi kwa lengo la kudumisha urafiki
jamani mwacheni kakimbilia sebuleni kuficha uozo wake akijua ukimkosoa tu unawekwa chumban(ndani) si ndo policcm hyo??
Uzinduzi kwa wana CCM peke yao?
watu ni wengi lkn waliovaa sare ya ccm ni 7 tu. vile mbunge ni wa ccm na anafanya uhamasishaji, sioni tatizo kwake kuvaa sare pamoja na wapambe wake. hujawahi ona kombati nyeusi zikivaliwa na akina mbowe misibani. kombati hadi msibani! amka dogo!
Huyu ndie aliyekimbia na masanduku ya kura na Polisi wakawa wanamwangalia tu. Na Leo anafanyia mkutano kituoni wanamwangalia tu, kesho hatujui atafanya nini
Watu wenyewe walio hudhuria kama wamelowa vile ama hawajiamini? ama kweli kuwa gamba iahitaji ujasiri wa hali ya juu! waone nyuso zilivo washuka!
'mnakimbiliaga wapi jupenda maana yake nini sasa...'