CCM waanza kuonja makali ya CHADEMA

CCM waanza kuonja makali ya CHADEMA

Uamuzi wa kishujaa na kizalendo wa kususia chaguzi zote ndogo umeanza kuwachoma ccm baada ya uchaguzi wa udiwani wa kata za Hamgembe na Kagondo mjini Bukoba kukosa washindani wa kuisindikiza ccm hivyo kujikuta wapo pekee yao kama wanafanya kikao cha familia.Hongera sana cdm kwa uamuzi wa kizalendo.wagombea wa ccm ni Anatory Amani na Mhaji Kachwamba sasa wanajipachika udiwani kwa mtindo wa chama kimoja hapa giza kule mtuView attachment 874692View attachment 874693
Kwan kwenye uchaguzi wa August 12/2018 2018 na Sept 16/2018 CCM iliita bila kupingwa kata ngapi?
 
Huu uamuzi CDM wamechelewa sana kuuchukua, ilibidi hata Monduli, kule kigoma kote wasingeshiriki.......wallah idadi ya wapiga kura ingewaacha na aibu.
Mkuu nikweli kabisa lkn sasa ndiyo safari imeanza rasmi
 
Hiyo unaijua wewe ukitaka anzisha uzi wa hizo chaguzi ulizo zitaja
Kwan kwenye uchaguzi wa August 12/2018 2018 na Sept 16/2018 CCM iliita bila kupingwa kata ngapi?
 
Swafiiii sana
CDB4E609-87AD-44CF-AAEE-A4045040FF4E.png
 
Mmetwa boys na jamaa wa ubeligiji walahi! Chadrama!
Mtatoana macho mwaka huu walahi
 
Hilo hasa ndio litakuwa limepata muarobaini ila kwa wasiyotaka kuisumbua akili basi wanafurahia kama mazuzu tu
Ni bora iwe hivyo, naamini hata zoezi la ununuzi binadamu litakoma sasa.
 
Back
Top Bottom