Mkuu tuachane na "porojo" basi, siku zote mtu mwenye ushahidi hasa wa tuhuma nzito kama hizo huwa anakwenda "mahakamani" kutafuta haki yake. Ukiona hupati haki kwenye mahakama za ndani, unakwenda hata kwenye mahakama za kimataifa, ili mradi tu kuionesha jamii ya kimataifa kuwa wewe unadai haki kwa kufuata njia iliyo sahihi.Unajuwaje kama hana ushahidi?
Mkuu tuachane na "porojo" basi, siku zote mtu mwenye ushahidi hasa wa tuhuma nzito kama hizo huwa anakwenda "mahakamani" kutafuta haki yake. Ukiona hupati haki kwenye mahakama za ndani, unakwenda hata kwenye mahakama za kimataifa, ili mradi tu kuionesha jamii ya kimataifa kuwa wewe unadai haki kwa kufuata njia iliyo sahihi.
Ukiona mtu anabwabwaja tu pasipo kwenda mahakamani, fahamu kwamba mtu huyo hana ushahidi, bali anatuhumu tu ili aonewe huruma, maana anaogopa kukubali kusema kuwa ameshindwa kihalali. Kulalamika ni mbinu tu ya kisiasa.
Mbinu hii ya kulalamika lalamika hovyo imekuwa ikitumiwa na CHADEMA miaka nenda rudi hasa pale wanaposhindwa kwenye uchaguzi. Hawana jipya, Watanzania wenye akili zetu tumeshawazoea hao.
Acha wafu wajizike wenyeweUnaonaje ukienda kukifuta?mbona umechelewa sana?
Taabu kwa ajili ya aibu... lakini raha bila jasho.Sasa hivi watapata sana taaabu kwa aibu
Uamuzi wa kishujaa na kizalendo wa kususia chaguzi zote ndogo umeanza kuwachoma ccm baada ya uchaguzi wa udiwani wa kata za Hamgembe na Kagondo mjini Bukoba kukosa washindani wa kuisindikiza ccm hivyo kujikuta wapo pekee yao kama wanafanya kikao cha familia.Hongera sana cdm kwa uamuzi wa kizalendo.wagombea wa ccm ni Anatory Amani na Mhaji Kachwamba sasa wanajipachika udiwani kwa mtindo wa chama kimoja hapa giza kule mtuView attachment 874692View attachment 874693
Mkuu lengo langu mimi ni kuionesha jamii kuwa hawa CHADEMA wanawadanganya Watanzania pale wanaposema eti wanadhulumiwa kwenye chaguzi. Kama kweli wanadhulumiwa kwanini hawaendi kufungua kesi mahakamani za kupinga uchaguzi??Ebu sema Kweli Rafiki angu kama ni mpenzi wa Mungu.Je unataka Upinzani sawa wafanyeje.Au washiriki hivyohivyo huku wakirudisha form wahusika hawapo wakishinda hawatangazwi wao.Wanapigwa.Na yote.Au huoni.Unajua kuna wakati hata kama nini.Jaribu kutafakari kama MTU mwenye upeo.Sasa wameamua kuwaachia .Napo unalaumu.Au nia yako nini.Ebu nieleweshe kidogo.Labda mi ndo sijakuelewa.
Kahaba hana aibuSasa hivi watapata sana taaabu kwa aibu
Furahini maana kwa kujitoa cdm mtakuwa mnapata ushindi hata bila ya kufanya kampeiniMkuu lengo langu mimi ni kuionesha jamii kuwa hawa CHADEMA wanawadanganya Watanzania pale wanaposema eti wanadhulumiwa kwenye chaguzi. Kama kweli wanadhulumiwa kwanini hawaendi kufungua kesi mahakamani za kupinga uchaguzi??
Ninachotaka mimi ni hao CHADEMA wawe wawazi tu wakubali kuwa wameshindwa kufanya siasa na wasisingizie kudhulumiwa. Wasimtafute "mchawi" wakati mchawi ni wao wenyewe.
Wanalazimisha ushindi hawa watuMkuu lengo langu mimi ni kuionesha jamii kuwa hawa CHADEMA wanawadanganya Watanzania pale wanaposema eti wanadhulumiwa kwenye chaguzi. Kama kweli wanadhulumiwa kwanini hawaendi kufungua kesi mahakamani za kupinga uchaguzi??
Ninachotaka mimi ni hao CHADEMA wawe wawazi tu wakubali kuwa wameshindwa kufanya siasa na wasisingizie kudhulumiwa. Wasimtafute "mchawi" wakati mchawi ni wao wenyewe.
Kawaida Mimi nikishaona MTU anajifanya haelewi wala haoni yanayotokea.Nashindwa hata kujibizana nae.Mkuu lengo langu mimi ni kuionesha jamii kuwa hawa CHADEMA wanawadanganya Watanzania pale wanaposema eti wanadhulumiwa kwenye chaguzi. Kama kweli wanadhulumiwa kwanini hawaendi kufungua kesi mahakamani za kupinga uchaguzi??
Ninachotaka mimi ni hao CHADEMA wawe wawazi tu wakubali kuwa wameshindwa kufanya siasa na wasisingizie kudhulumiwa. Wasimtafute "mchawi" wakati mchawi ni wao wenyewe.