CCM waanza kuonja makali ya CHADEMA

CCM waanza kuonja makali ya CHADEMA

Wacha kujiliwaza wewe huna akili zaidi ya watu wa cdm,huko kote unakozunguka tulishapita
Mkuu akili za watu zinapimwa kutokana na matendo yao, na kwa jinsi CHADEMA wanavyofanya siasa zao, ni kipimo tosha kuwa viongozi wa hichi chama wana mapungufu makubwa sana ya "akili", naweza sema nimewazidi sana kiakili.

Kiongozi wa chama mwenye akili na maono ya mbali kamwe hawezi kuamua chama kususia uchaguzi. Kitendo cha kususia uchaguzi ni kama kitendo cha dereva wa gari kususia kuweka mafuta, hiyo gari haiwezi tembea bila mafuta.
 
Kususia uchaguzi hakujawahi hata siku moja kuwa na faida kwa chama kinachosusa, vyama vyote vinavyosusia chaguzi huwa vinaishia kusambaratika. Lengo la chama chochote kile cha siasa ni kushika madaraka, sasa chama kikianza kususia uchaguzi hakiwezi kuyapata hayo madaraka.

Kwa staili hii CHADEMA mnajichimbia "kaburi" lenu wenyewe, na ikifika 2020 Watanzania watakuwa wamewasahau kabisa. Mbowe na chama chako mnapaswa kufahamu msemo huu; "quitters don't win and winners never quit"
Wakijichimbia kaburi si ndo raha ya CCM jamani!Vp ulitaka warudi?
 
Nanyie ukichaa wenu lazima uwatoke
Mmawia, jaribu kuwa objective. Mlisusa singida kaskazini, tume bado ni ileile, polisi bado ni walewale, umewahi kuwauliza viongozi wako kwanini hizi chaguzi zingine wameshiriki?
 
Tatizo ni kwamba CHADEMA hawajifunzi kutokana na historia, chama cha CUF kilisusia uchaguzi wa marudio kule Zanzibar, baada ya hapo CUF wakaanza kusambaratika na sasa hivi wamebakia hoi bin taaban.

Yale yale yaliyoikumba CUF ndiyo hayo hayo yatatokea kwa CHADEMA tena ukijumlisha na huku kukimbiwa kwa Wanachama wake, ndio kabisa ni kama kuongeza "petroli" kwenye moto unaowaka. Mkuu Mmawia mark my words, this is the begging of the end of CHADEMA in Tanzania politics.
Ebu sema Kweli Rafiki angu kama ni mpenzi wa Mungu.Je unataka Upinzani sawa wafanyeje.Au washiriki hivyohivyo huku wakirudisha form wahusika hawapo wakishinda hawatangazwi wao.Wanapigwa.Na yote.Au huoni.Unajua kuna wakati hata kama nini.Jaribu kutafakari kama MTU mwenye upeo.Sasa wameamua kuwaachia .Napo unalaumu.Au nia yako nini.Ebu nieleweshe kidogo.Labda mi ndo sijakuelewa.
 
Mmawia, jaribu kuwa objective. Mlisusa singida kaskazini, tume bado ni ileile, polisi bado ni walewale, umewahi kuwauliza viongozi wako kwanini hizi chaguzi zingine wameshiriki?
Hawa jamaa si ajabu huwa wanasusia hadi wake zao. Na ujue ukisusa kisusio cha mkeo, lazima apewe mweingine
 
Wacha kujiliwaza wewe huna akili zaidi ya watu wa cdm,huko kote unakozunguka tulishapita
Achana naye.Hata mi nilitaka kumjibu but baada ya kugundua Hajui analoongea nimeamua kumuacha .
 
Mkuu bado kunawatu wanakuwa na furaha zaidi pale wanapo waona binadamu mwenzao anapata matatizo kama hayo ya kunyanyasika
Ebu sema Kweli Rafiki angu kama ni mpenzi wa Mungu.Je unataka Upinzani sawa wafanyeje.Au washiriki hivyohivyo huku wakirudisha form wahusika hawapo wakishinda hawatangazwi wao.Wanapigwa.Na yote.Au huoni.Unajua kuna wakati hata kama nini.Jaribu kutafakari kama MTU mwenye upeo.Sasa wameamua kuwaachia .Napo unalaumu.Au nia yako nini.Ebu nieleweshe kidogo.Labda mi ndo sijakuelewa.
 
Siyo kususia uchaguzi tu bali kuacha kushiriki chaguzi ili kuijenga cdm kwani kushiriki chaguzi ukijua utashindwa ni sawa na kichaa kutoa risara kwa madokta
 
Kwa kuangalia post yako tu inakuhukumu akili zako zilivyo za kupenda vurugu
Hawa jamaa si ajabu huwa wanasusia hadi wake zao. Na ujue ukisusa kisusio cha mkeo, lazima apewe mweingine
 
Mkuu hiyo ndiyo njia pekee ya kujenga cdm kwa sasa wao ccm wacha waendelee ili tupumzike kuona majeruhi kisa uchaguzi
Siyo kususia uchaguzi tu bali kuacha kushiriki chaguzi ili kuijenga cdm kwani kushiriki chaguzi ukijua utashindwa ni sawa na kichaa kutoa risara kwa madokta
 
Back
Top Bottom