Cdm hawajaribu bali wanatekeleza
mkurugenzi anaondoka ofisini siku ya kurudisha fomu makusudi anaenda kulewa. wagombea wa vyama vingine wanarudiaha fomu hawamkuti . baadae anatangazwa kupita bila kupingwa . afu unasema huogopi wapinzani kwakuwa ni dhaifu. kuna udhaifu mwingine zaid ya huu.Na ruzuku pia msusie mapaka shume nyie!
Tatizo ni kwamba CHADEMA hawajifunzi kutokana na historia, chama cha CUF kilisusia uchaguzi wa marudio kule Zanzibar, baada ya hapo CUF wakaanza kusambaratika na sasa hivi wamebakia hoi bin taaban.Hayo ni mawazo ya walio changanyikiwa na wanao jidanganya kuwa wanapendwa na kwa taarifa yako cdm inapendwa na mamilioni ya watanzania na huo uamuzi ni wa wananchi
Mzee sasa kama wanashirik chaguzi na maamuzi ya wapiga kura hamtaki kuheshimu unataka wafanyajeKususia uchaguzi hakujawahi hata siku moja kuwa na faida kwa chama kinachosusa, vyama vyote vinavyosusia chaguzi huwa vinaishia kusambaratika. Lengo la chama chochote kile cha siasa ni kushika madaraka, sasa chama kikianza kususia uchaguzi hakiwezi kuyapata hayo madaraka.
Kwa staili hii CHADEMA mnajichimbia "kaburi" lenu wenyewe, na ikifika 2020 Watanzania watakuwa wamewasahau kabisa. Mbowe na chama chako mnapaswa kufahamu msemo huu; "quitters don't win and winners never quit"
Bali kupiga kura ktk mazingira ya mtutu wa bunduki, kuteswa na hats kuuawa kwa wasio na hatia na kuibiwa kura ki mabavu ya dola ndiyo faida?Kususia uchaguzi hakujawahi hata siku moja kuwa na faida kwa chama kinachosusa, vyama vyote vinavyosusia chaguzi huwa vinaishia kusambaratika. Lengo la chama chochote kile cha siasa ni kushika madaraka, sasa chama kikianza kususia uchaguzi hakiwezi kuyapata hayo madaraka.
Kwa staili hii CHADEMA mnajichimbia "kaburi" lenu wenyewe, na ikifika 2020 Watanzania watakuwa wamewasahau kabisa. Mbowe na chama chako mnapaswa kufahamu msemo huu; "quitters don't win and winners never quit"
Hahahaaaa utadhani wako msibani
Tatizo ni kwamba CHADEMA hawajifunzi kutokana na historia, chama cha CUF kilisusia uchaguzi wa marudio kule Zanzibar, baada ya hapo CUF wakaanza kusambaratika na sasa hivi wamebakia hoi bin taaban.
Yale yale yaliyoikumba CUF ndiyo hayo hayo yatatokea kwa CHADEMA tena ukijumlisha na huku kukimbiwa kwa Wanachama wake, ndio kabisa ni kama kuongeza "petroli" kwenye moto unaowaka. Mkuu Mmawia mark my words, this is the begging of the end of CHADEMA in Tanzania politics.
HALAFU NA KEJELI JUU: "...kwani mimi ndio nilileta Tetemeko?"...Uamuzi wa kishujaa na kizalendo wa kususia chaguzi zote ndogo umeanza kuwachoma ccm baada ya uchaguzi wa udiwani wa kata za Hamgembe na Kagondo mjini Bukoba kukosa washindani wa kuisindikiza ccm hivyo kujikuta wapo pekee yao kama wanafanya kikao cha familia.Hongera sana cdm kwa uamuzi wa kizalendo.wagombea wa ccm ni Anatory Amani na Mhaji Kachwamba sasa wanajipachika udiwani kwa mtindo wa chama kimoja hapa giza kule mtuView attachment 874692View attachment 874693
HALAFU NA KEJELI JUU: "...kwani mimi ndio nilileta Tetemeko?"...Ukizira wenzio wanakula, muda utaotaka kula sababu ya njaa wenzako wameshamaliza msosi.
Hongereni chadema kwa uamuzi wa 'kizalendo'.
Tutarajie usajili wa vyama mamluki (vyama shirika na chama tawala) ili kuonesha bdo tuna Siasa ya vyama vingi....Uamuzi wa kishujaa na kizalendo wa kususia chaguzi zote ndogo umeanza kuwachoma ccm baada ya uchaguzi wa udiwani wa kata za Hamgembe na Kagondo mjini Bukoba kukosa washindani wa kuisindikiza ccm hivyo kujikuta wapo pekee yao kama wanafanya kikao cha familia.Hongera sana cdm kwa uamuzi wa kizalendo.wagombea wa ccm ni Anatory Amani na Mhaji Kachwamba sasa wanajipachika udiwani kwa mtindo wa chama kimoja hapa giza kule mtuView attachment 874692View attachment 874693
katoeni rambirambire. na zile za maafa ya kagera tunazikumbuka badoUkizira wenzio wanakula, muda utaotaka kula sababu ya njaa wenzako wameshamaliza msosi.
Hongereni chadema kwa uamuzi wa 'kizalendo'.
Ukizira wenzio wanakula, muda utaotaka kula sababu ya njaa wenzako wameshamaliza msosi.
Hongereni chadema kwa uamuzi wa 'kizalendo'.