CCM waanza kuonja makali ya CHADEMA

CCM waanza kuonja makali ya CHADEMA

Kweli kabisa lkn havitasaidia kitu angalia ACT leo hii ipo wapi?mapenzi yanatoka moyoni mkuu
Tutarajie usajili wa vyama mamluki (vyama shirika na chama tawala) ili kuonesha bdo tuna Siasa ya vyama vingi....
 
Mzee sasa kama wanashirik chaguzi na maamuzi ya wapiga kura hamtaki kuheshimu unataka wafanyaje
Maamuzi yepi hayo ya wapiga kura ambayo hayaheshimiki?? Kama kweli CHADEMA wanadhulumiwa kwenye sanduku la kura kama wanavyodai mbele ya vyombo vya habari kwanini wasipeleke ushahidi wao kwenye vyombo vya kisheria(mahakamani) ili watu wote waone kuwa madai yao ni ya msingi????

Ukweli ni kwamba CHADEMA hawawezi kwenda mahakamani sababu hawana ushahidi wowote ule wa kudhulumiwa. Huku kulia lia kwa CHADEMA mbele ya vyombo vya habari kila yanapotolewa matokeo ya uchaguzi ni mbinu dhaifu sana ya kutafuta "sympathy" (huruma) kutoka kwa wananchi na jamii ya kimataifa.
 
Wacha hao waende kujiliwaza ila nina uhakika 2020 watatupiwa vilago
..sasa itakuwa kichekesho.

..mbunge/diwani anahamia ccm halafu wanampitisha ndani ya chama bila kupingwa, na ktk uchaguzi nako anapita bila kupingwa.
 
Uamuzi wa kishujaa na kizalendo wa kususia chaguzi zote ndogo umeanza kuwachoma ccm baada ya uchaguzi wa udiwani wa kata za Hamgembe na Kagondo mjini Bukoba kukosa washindani wa kuisindikiza ccm hivyo kujikuta wapo pekee yao kama wanafanya kikao cha familia.Hongera sana cdm kwa uamuzi wa kizalendo.wagombea wa ccm ni Anatory Amani na Mhaji Kachwamba sasa wanajipachika udiwani kwa mtindo wa chama kimoja hapa giza kule mtuView attachment 874692View attachment 874693
Sio kujipachika sasa,kama hauna mshindani lazima uwe mshindi sio kwamba ukisusia utawatikisa,tena wanashinda bila kutumia nguvu nyingi kiulaini bila pressure
 
Maamuzi yepi hayo ya wapiga kura ambayo hayaheshimiki?? Kama kweli CHADEMA wanadhulumiwa kwenye sanduku la kura kama wanavyodai mbele ya vyombo vya habari kwanini wasipeleke ushahidi wao kwenye vyombo vya kisheria(mahakamani) ili watu wote waone kuwa madai yao ni ya msingi????

Ukweli ni kwamba CHADEMA hawawezi kwenda mahakamani sababu hawana ushahidi wowote ule wa kudhulumiwa. Huku kulia lia kwa CHADEMA mbele ya vyombo vya habari kila yanapotolewa matokeo ya uchaguzi ni mbinu dhaifu sana ya kutafuta "sympathy" (huruma) kutoka kwa wananchi na jamii ya kimataifa.
Wacha kujiliwaza wewe huna akili zaidi ya watu wa cdm,huko kote unakozunguka tulishapita
 
Yaani wameona wavae na sare za chama siku ya kupiga kura wakati hata sheria hairuhusu na wasimamizi wapo? Au ndio kukosa washindani kumesababisha hali hii?

Alafu ni wazee watupu tena huenda baadhi wamelazimishwa!!
 
Sasa kampeini za nini? Si wasubiri kura za ndiyo na hapana? Kutokujiamini ni shida sana
 
Umenifurahisha sana eti kikao cha familia.QUOTE="Mmawia, post: 28481631, member: 165175"]Uamuzi wa kishujaa na kizalendo wa kususia chaguzi zote ndogo umeanza kuwachoma ccm baada ya uchaguzi wa udiwani wa kata za Hamgembe na Kagondo mjini Bukoba kukosa washindani wa kuisindikiza ccm hivyo kujikuta wapo pekee yao kama wanafanya kikao cha familia.Hongera sana cdm kwa uamuzi wa kizalendo.wagombea wa ccm ni Anatory Amani na Mhaji Kachwamba sasa wanajipachika udiwani kwa mtindo wa chama kimoja hapa giza kule mtuView attachment 874692View attachment 874693[/QUOTE]
Ume
 
Bali kupiga kura ktk mazingira ya mtutu wa bunduki, kuteswa na hats kuuawa kwa wasio na hatia na kuibiwa kura ki mabavu ya dola ndiyo faida?
Kama huna ushahidi wa hayo madai yako, hizo ni porojo tu na hakuna mtu makini atakayewaelewa kwa kusikiliza "porojo".
 
Tatizo ni kwamba CHADEMA hawajifunzi kutokana na historia, chama cha CUF kilisusia uchaguzi wa marudio kule Zanzibar, baada ya hapo CUF wakaanza kusambaratika na sasa hivi wamebakia hoi bin taaban.

Yale yale yaliyoikumba CUF ndiyo hayo hayo yatatokea kwa CHADEMA tena ukijumlisha na huku kukimbiwa kwa Wanachama wake, ndio kabisa ni kama kuongeza "petroli" kwenye moto unaowaka. Mkuu Mmawia mark my words, this is the begging of the end of CHADEMA in Tanzania politics.
Hata kwa Nyalandu walisusia chaguzi zilizofuata wakashiriki. Watakuja tu, na kiama chao ni 2020. Chama kitakapopata ruzuku sh 500,000 watapata akili.
 
Nanyie ukichaa wenu lazima uwatoke
Hata kwa Nyalandu walisusia chaguzi zilizofuata wakashiriki. Watakuja tu, na kiama chao ni 2020. Chama kitakapopata ruzuku sh 500,000 watapata akili.
 
Back
Top Bottom