CCM waanza kuonja makali ya CHADEMA

Inasikitisha ushauri wa kujitoa mlipewa mapema sana lakini mlipuuza sasa chama kimewafia na wabunge wamegoma kumchangia mbowe hela za uchaguzi badala ya kumpa mgombe yeye anatumia kwa faida yake,ccm ni chama kubwa linalo kwenda kulingana na wakati ulipo ndio maana imewaletea jpm aka jiwe anawalaza macho na kususia uchaguzi kifupi hamna hoja baada ya kuona kuelekea 2020 hamtakua na cha kuahidi!
 
Hata mugabe alikuwa anaota hivyo hivyo kama unavyoota lkn leo kamtazame imebakia miwani tu ndiyo mikubwa kuliko sura
 
Hata mugabe alikuwa anaota hivyo hivyo kama unavyoota lkn leo kamtazame imebakia miwani tu ndiyo mikubwa kuliko sura
Ushauri mzuri na waroho wa ikulu nao unawashauri nini maana miaka nenda wanaitamani!
 
Ukizira wenzio wanakula, muda utaotaka kula sababu ya njaa wenzako wameshamaliza msosi.
Hongereni chadema kwa uamuzi wa 'kizalendo'.
Kama alivyowahi kusema JK ukipenda kula lazima na wewe utaliwa tuu...
 
Fumbiemi wajinga.CHADEMA kwa sasa hela hawana Hawana jeuri ya kushiriki uchaguzi wowote.
 

Mkuu narudia tena, ccm sio chama tena cha siasa bali kikundi cha tiss, jeshi na watu wasiojulikana. Watu kama nyie ni robot zilizobaki kuhubiri propaganda zilizotengenezwa na tiss. Kweli kutakosekana cha kuahidi kwenye nchi masikini kama yetu? Nchi tajiri kama US watu wanavya kuahidi itakuwa hii nchi yetu inayoendesha miradi kwa pesa za mikopo huku deni la taifa likikua kwa kasi?

Kweli ccm ni chama kubwa lakini sio chama kubwa cha kisiasa bali kijeshi. Na kudhibitisha wananchi hawavutiwi na ccm ndio umeona hiyo idadi ndogo ya wapiga kura. Na kwa mwenendo huu wa uporaji wa kura na kutangaza wasiokubalika utaona tutakavyoishusha idadi ya wapiga kura.
 
Wee unadhani ni kwa nn watawala walikubali kuingia mfumo wa vyama vingi? kilichofanya walione hilo ndicho kitawafanya kuwabebeleza cdm, tulia, hiv we unadhani ni kitu rahis kumkaribisha mwenzio kwenye kampuni/biashara yako kuwa njoo tugawane mapato!!?
 
Hiyo ni ngumu sana maana unajua mtagawana faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…