MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Kwa bahati mbaya uzushi wako hauna mashiko, sasa hivi niko Dar es salaam kikazi.Tena wewe ndio ulikimbizwa
Kwa bahati mbaya uzushi wako hauna mashiko, sasa hivi niko Dar es salaam kikazi.Tena wewe ndio ulikimbizwa
Ndio Maana mleta taarifa kwangu aliniambia walipo ingia walikua attention sana na simu sukuizi wanapiga mpaka simu mkuuMkuu hao maccm mngewaacha wakafanya siasa zao kwenye msiba, ila mlitakiwa kuwa makini na chombo cha rambi rambi, hawakawii kukimbia na rambirambi:llama:
Kwa bahati mbaya uzushi wako hauna mashiko, sasa hivi niko Dar es salaam kikazi.
Kwa bahati mbaya uzushi wako hauna mashiko, sasa hivi niko Dar es salaam kikazi.
Umekuwa mpoleeee, kuliko maelezo. Mbwa hubweka kwa amri ya bwana wake
Ccm nikikundi cha wachawiHaya majamaa yalinichekesha tulikua msibani huko kwetu kuna jamaa anaitwa karim akamtuma mwakilishi wake eti anakuja kwenye msiba anaomba mic kumnadi huyu karim kumbe hakujua peopleessss!!!wapo mbona alikiona
Ha ha ha Ha ha Nimejikuta nacheka tuuuu....Ukikataliwa bwana tabu sana.....
Amejichimbia oldonyosambu anabugia chang'aa la mkopo si unaelewa EL kakatwaa saivi hakulaliki wala hakuamkiki.Sikuhizi Lemara ndio Dar es salaam?
Kilichotokea leo kwenye msiba wa balozi wa chadema Themi Arusha CCM wameaibika baada ya ndugu wa marihemu kuwakata ccm na kumtambua mweyekiti wa mtaa themi masha shiriki hm.
Godfrey Mushi na Kinabo Diwani Themi Mashariki. CCM wamekimbia na kuvunjika meno katibu wa CCM amepotea na ajulikani alipo.

SAHIHISHO>> MZEE AMOS URONU alikuwa ni balozi(mjumbe wa nyumba kumi) kwa tiketi ya ccm na siyo chadema kama mtoa mada alivyodai,hayo mengine sijui,Rip balozi wetu.
Umekuwa mpoleeee, kuliko maelezo. Mbwa hubweka kwa amri ya bwana wake
Habari za siku muheshimiwa EL kapigwa chini sasa upo timu gani ??
Pepo wamekutawala kweli ndugu yetu,Unahitaji maombi kwani hizi ndoto na mauzauza unayoona ilhali unatembea simchezoMnara wa babeli...kimenuka