bora yafukuzwa maccm yasije kuiba rambi rambi
Mbona unaongea huku unalia?
Anaongea???mbona sisikii sauti???
Utoto wa CHADEMA hauna mwisho.
Utoto wa CHADEMA hauna mwisho.
Kuendekeza siasa hata kwenye mambo ya kijamii ni utoto na ushamba.
Mkuu hao maccm mngewaacha wakafanya siasa zao kwenye msiba, ila mlitakiwa kuwa makini na chombo cha rambi rambi, hawakawii kukimbia na rambirambi:llama:
Mkuu hao maccm mngewaacha wakafanya siasa zao kwenye msiba, ila mlitakiwa kuwa makini na chombo cha rambi rambi, hawakawii kukimbia na rambirambi:llama:
Sometime " you gat to do what you have to do" . .kama CCM wanafanya kufuru katika ufisadi, ni bora kuwatosa hata kwenye shughuli za kijamii , ili wajue Tanzania tumeamkaa!!!
Kuendekeza siasa hata kwenye mambo ya kijamii ni utoto na ushamba.
Kwa Arusha, hakuna sehemu CCM wanaweza kufanya siasa zaidi ya kwenye misiba. Sasa kama kwenye msiba mmewafukuza dah! Nawaonea huruma....
Utoto wa CHADEMA hauna mwisho.
CCM ni shida. Wakati wa kuomba kura wagombea wengi wanakuwa malaika wakishapata... wanakuwa na jeuri za vijisenti na pesa za mboga
Upuuzi mwingine wa Bavicha. Yaani Bangi, Viroba na Chang'aa. Hata kuandika hawajui. Ukiitwa Bavicha ni tusi baya kuliko k.maninaKilichotokea lea kwenye msiba wa balozi wa chadema Themi Arusha CCM wameaibika baada ya ndugu wa marihemu kuwakata ccm na kumtambua mweyekiti wa mtaa themi masha shiriki hm.
Godfrey Mushi na Kinabo Diwani Themi Mashariki. CCM wamekimbia na kuvunjika meno katibu wa CCM amepotea na ajulikani alipo.
Mkuu hao maccm mngewaacha wakafanya siasa zao kwenye msiba, ila mlitakiwa kuwa makini na chombo cha rambi rambi, hawakawii kukimbia na rambirambi:llama: