CCM waaibika Arusha

CCM waaibika Arusha

Kilichotokea leo kwenye msiba wa balozi wa chadema Themi Arusha CCM wameaibika baada ya ndugu wa marihemu kuwakata ccm na kumtambua mweyekiti wa mtaa themi masha shiriki hm.

Godfrey Mushi na Kinabo Diwani Themi Mashariki. CCM wamekimbia na kuvunjika meno katibu wa CCM amepotea na ajulikani alipo.
Hii ni Aibu na kutokukubalika kwa ccm Arusha ndio wanaona wafanye haya
 
Mbona story yako haina mashiko au ndio kwanza umeingia kwenye jamvi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom