Ile mahakama mmetumia mamilioni ya kodi zetu kwa mbwembwe sasa hivi popo zinajitagia mayai tu .ccm watu wa hovyo sana.Chadema mnaopambana na mafisadi ndio mmpeleke mahakamani.
Kwa Lowasa yupo kwenye list of shame ya chadema
Watashind Kyadema kwani wamesajiri Messi (Madame Sepetunga) safari hii ,atazunguka nchi nzima kuuza sura ,yeye ni brand bwaanaKwa jinsi mikito ya kisiasa inavyoenda sasa hivi, mtu yoyote makini anaweza kutabiri upepo wa kisiasa utakavyokuwa kwenye uchaguzi kwa ngazi zote mwaka 2020.
Kwa sasa ccm wanajitahidi kadiri ya uwezo wao kupambana na rushwa,ufisadi na madawa ya kulevya kwa nguvu zao zote.
Elimu bure, serikali kuhamia dodoma na kufufuka kwa Atcl pamoja na kuboreka kwa bei ya mazao ya biashara kwa wakulima kama vile pamba na korosho ni baadhi ya mambo yanayotoa mwanga kwa ccm kuendelea kutamba na kuaminiwa na wananchi zaidi mwaka 2020.
Kwa upande mwingine Chadema wanajaribu kuwinda na kuvutia wanachama wapya kwa kutetea wakwepa kodi, wala rushwa, mafisadi na wauza madawa ya kulevya.
Chadema wanajaribu kujibanza nyuma ya wafanyabiashara, kwamba ikishinda chadema, biashara zao zitaboreka ,pia licha ya kwamba chama hakina hata ofisi, chadema wameahidi wanafunzi watasoma bure mpaka chuo kikuu.
Kwa hali hiyo chadema pia inatoa mwanga wa kutamba mwaka 2020 kupitia uungwaji mkono wa makundi yanayoshugulikiwa vizuri na utawala wa awamu ya tano.
Makundi kama ya wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wala rushwa, wazembe kazini, wakwepa kodi, kwa sasa hawana nafasi ccm, hivyo watakimbilia chadema na kuipa matumaini ya kushinda uchaguzi wa mwaka 2020.!!!
Wewe kwa maoni yako nani atatamba 2020??
Nimekudharau kwa hoja zako nyepesi na za kichumia tumbo au ndio kujipendekeza kwa mabwana zako wa lumumba.Uelewa wako uko chini sana
Endeleeni kujipa matumaini kama mgonjwa wa ukimwa. Watazania wanawaangalia na kuwavutia kasi. Wanasubiriki kichwa kielekee kibla. Ni swala la muda tu.Heka heka za kisiasa ziko humu jf ila mtaani kuko kimya na shwari kabisa!
Na 2015 mlisema haya haya.Endeleeni kujipa matumaini kama mgonjwa wa ukimwa. Watazania wanawaangalia na kuwavutia kasi. Wanasubiriki kichwa kielekee kibla. Ni swala la muda tu.
Baki kwenye hoja yako mkuu na ujibu hilo swali kuhusu uchaguzi wa vijiji 2014!!! by the way ukisema makapi kumbuka hta mbowe au maalim seif walitokea ccm ssa je ni nani ambaye si kapi la CCM au kapi ni lowasa tu ila slaa na mnyika sio??? acheni chuki binafsi na unafki wa mtu akiwaacha ndo mnamuita KAPI mnasahau kipindi tunamuita fisadi CCM mlisema ILIKUWA AJALI YA KISIASA ila alipohama tu mkamuita fisadi na kapi duuhAcha Kujipa moyo mkuu.
Makapi ya ccm hayawezi kuwapeleka ikulu lo
yeah ila jecha na lubuva wakawaokoaNa 2015 mlisema haya haya.
genge la wahuniKweli ccm kuna mabashite wengi saccoss ndio nini?
watasema hawana...Unga umepandishwa bei na ukame sio siasa. Je kenya ambao hata hayo mahindi ya bei kubwa hawana watasemaje?
Saafi sana...kwa maana bora sisi wenye chakula lkn kina bei juu kuliko waliokosa kwa sab ya ukamewatasema hawana...
Hawa ndio vijana wa Lumumba waliokufa akili kama wafuSasa unauliza swali halafu unajijibu?