Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Biashara zitaboreka? Mmmh
Kijana fanya kazi, achana na mambo ya siasaKwa jinsi mikito ya kisiasa inavyoenda sasa hivi, mtu yoyote makini anaweza kutabiri upepo wa kisiasa utakavyokuwa kwenye uchaguzi kwa ngazi zote mwaka 2020.
Kwa sasa ccm wanajitahidi kadiri ya uwezo wao kupambana na rushwa,ufisadi na madawa ya kulevya kwa nguvu zao zote.
Elimu bure, serikali kuhamia dodoma na kufufuka kwa Atcl pamoja na kuboreka kwa bei ya mazao ya biashara kwa wakulima kama vile pamba na korosho ni baadhi ya mambo yanayotoa mwanga kwa ccm kuendelea kutamba na kuaminiwa na wananchi zaidi mwaka 2020.
Kwa upande mwingine Chadema wanajaribu kuwinda na kuvutia wanachama wapya kwa kutetea wakwepa kodi, wala rushwa, mafisadi na wauza madawa ya kulevya.
Chadema wanajaribu kujibanza nyuma ya wafanyabiashara, kwamba ikishinda chadema, biashara zao zitaboreka ,pia licha ya kwamba chama hakina hata ofisi, chadema wameahidi wanafunzi watasoma bure mpaka chuo kikuu.
Kwa hali hiyo chadema pia inatoa mwanga wa kutamba mwaka 2020 kupitia uungwaji mkono wa makundi yanayoshugulikiwa vizuri na utawala wa awamu ya tano.
Makundi kama ya wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wala rushwa, wazembe kazini, wakwepa kodi, kwa sasa hawana nafasi ccm, hivyo watakimbilia chadema na kuipa matumaini ya kushinda uchaguzi wa mwaka 2020.!!!
Wewe kwa maoni yako nani atatamba 2020??

Ona na wwe akili mgando huo ushahidi lowasa au seif waupeleke wapi?? si mlikataza urais kuhojiwa mahakamani ssa mnatala huo ushahidi tuupeleke mahakama za kimila au????Ukisema umeibiwa kura lete ushahidi.
Kwanza Lowasa alitangaza kura zake haziibiwi kwa hiyo alikuwa anadanganya??
Elimu imewasaidia sana watanzania wanyonge.Kijana fanya kazi, achana na mambo ya siasa
Hivi leo hii unaweka vitu kama hivi badala ya kuwaza njia za kujiongezea kipato.
Mimi sina chama lakini kwa akili ndogo tuu ninawaza.
1. Hii elimu bure umeona matunda yake??
2. Ni watanzania wangapi wamefaidika kwa kufufuka atcl?
3. Ni kesi ngapi za ufisadi zimeendeshwa na kuchukuliwa hatua kwa watuhumiwa.
4. Maisha ya mtanzania wa kawaida yakoje hivi sasa?
5. Ajira kwa wasomi zimefikia wapi?
6. Uadilifu wa viongozi na weledi wa kazi hasa kwa ruhusu watu watumie taaluma zao ukoje?
7. Kwa nini nguvu kubwa inatumika kuua upinzani ulipewa baraka zite na waasisi wa taifa hili?
8. Kesho ya mtanzania inakuwaje kwa mwendo huu?
Ukijbu hayo mawazo yangu nitaelewa nini unamanisha
Ushahidi unaweza ukauchapisha tu hata kwenye magazeti, watanzania wakajua ukweliOna na wwe akili mgando huo ushahidi lowasa au seif waupeleke wapi?? si mlikataza urais kuhojiwa mahakamani ssa mnatala huo ushahidi tuupeleke mahakama za kimila au????
ona huyu naye anaongea pumba ssa kma mlivamia kituo cha UKAWA pale kijitonyama na sinza mlitegemea ushahidi tuupate wapi ssa?? kwa yale matokeo ya NEC yaliyochakachuliwa??? ama??? basi hiyo ni bara kule visiwank maalim anamatokeo yote ya ZEC yakionyesha kaongoza kwa mbali sana lakini imesaidia nni??? mbona bila aibu mkaenda mkafuta uchaguzi????? kwani kafulila na wenje hawana matokeo yote ya vituoni?? ila mbona leo hii hawako bungeni???Ushahidi unaweza ukauchapisha tu hata kwenye magazeti, watanzania wakajua ukweli
elimu gani kwa maskini unaongelea wwe hii ya watoto wa maskini kukosa mikopo kisa mnajenga airport ya chato ama sijakuelewa??Elimu imewasaidia sana watanzania wanyonge.
Maelfu ya watoto masikini wameenda shule
Toa pumba zakoKwa jinsi mikito ya kisiasa inavyoenda sasa hivi, mtu yoyote makini anaweza kutabiri upepo wa kisiasa utakavyokuwa kwenye uchaguzi kwa ngazi zote mwaka 2020.