Kwani wenye dola ya kuchunguza,kukamata na kufikisha mahakamani ni chadema? Zipo wapi tambo za mahakama ya mafisadi? Ccm ni pango la mafisadi na ndipo yanapohifadhiwaAliyehusika na wizi wa Richmond mlipa wadhifa gani huko chadema?
Chadema ya leo ijiweke mbali kuongelea ufisadi kwa kuwa imegeuka kuwa chaka kuu la ufisadi na ujangili