CCM Tusifanye Makosa Tunatakiwa kuwa na Naibu Spika Msomi Hakuna Namna!

Nilidhani mtu ambaye unataka aweke maslahi mbele ya Taifa, kwa mustakabari WA maisha ya Mtanzania! Kumbe Ni kwa ajiri ya Maslahi ya Ccm? Hivi huwa hamuoni aibu?

Mambo mengine muwe mnahamasishana kwenye vikao vyenu vya Chama...
 
- Lets talk about kukataa jinsia, kwanza mlisema CUF ni chama cha mashoga and then mkajiunga nao, sasa nani hapa anayejua kukataa jinsia? Fikiria kabla ya kuandika cause unaishia kujiabisha mwenyewe ni wewe na chama chako ndio mliokataa jinsia hahahahahahhahaha

le Mutuz

Daanh hayo umeyatoa wapi, muandishi wa kitabu huwezi kuweka rejea. . . . .
Eti msomi wa digrii tatu. . . . . .
 
UKAWA mna kauli mbiu kuwa wanawake uwezo wao utaishia kwenye ubunge tu...ila CCM kauli mbiu yetu kwa mambo ya jinsia upo 50/50. Hatuwezi kukaa kwenye jamii ambayo wanawake ni wengi kuliko wanaume ila bado tu tuwapore haki yao ya kuchagua na kuchaguliwa. Hovyo kwetu CCM jinsia ni jambo la muhimi sana katika uongozi katika nafasi mbalimbali.

Kama pale jumuiya ya wazazi mwenyekiti ni mwanaume na msaidizi ni mama nani vile hebu nikumbushe jina. . . . WILHELMINA MUHECHELA au nani sijui. . . .

KWELI MMEZINGATIA
 
Nilidhani mtu ambaye unataka aweke maslahi mbele ya Taifa, kwa mustakabari WA maisha ya Mtanzania! Kumbe Ni kwa ajiri ya Maslahi ya Ccm? Hivi huwa hamuoni aibu? Mambo mengine muwe mnahamasishana kwenye vikao vyenu vya Chama...mwanzo nilidhani wanakuonea waliokuwa wanakuita, nanukuu "Kubwa jinga" kwa Mawazo yako hapo juu, natengua fikra zangu hasi juu yako!

- Mimi ni CCM 100% mada inahusu CCM sasa wewe na lichama lako ya kuchukua mahawara na kwenda nao kwenye viti maalum hayakuhusu hahahahahahah

le Mutuz
 
- Nipo ofisini kwangu hapa posta mpya Tancot House kama una business deal unakaribishwa, maana mimi ni businessman ok karibu sana kama una deal!!

le Mutuz

Kazi au deal? Wanaofanya deal ni matapeli ndugu. Mtakoma na HapakaziTu. Labda muloge ashindwe kutoboa kufika upande wa pili. No deal ni Kazi
 
Kazi au deal? Wanaofanya deal ni matapeli ndugu. Mtakoma na HapakaziTu. Labda muloge ashindwe kutoboa kufika upande wa pili. No deal ni Kazi

Wewe jamaa mtu wa wapi!? Siku hizi kuna darasa la saba humu JF! Ukijua nini maana ya kazi ndio utaelewa kuwa business deal ni sehemu ya kazi.

Modes watu wenye akili za darasa la 7 muwemnawatoa humu. Wanadhalilisha jukwaa letu.
 
- Mtumzima unapomjibu mtu mwenye majibu ya kitoto badala ya kutafuta watuwazima wenzako inakera zaidi au? hahahahaha

le Mutuz
Sababu mkiachwa mnajisahau, mmedekezwa majumbani mwa wazee sasa mnataka kudeka kitaa muongee kama mnatapika mchafue hata pa kupita wengine. . . . .!!!
 
Sababu mkiachwa mnajisahau, mmedekezwa majumbani mwa wazee sasa mnataka kudeka kitaa muongee kama mnatapika mchafue hata pa kupita wengine. . . . .!!!

- Mkuu turudi kwenye mada nimesema CCM tunahitaji Naibu Spika msomi kama Dr. Tulia, eti hoja yako nini ona that?

le Mutuz
 
Wewe jamaa mtu wa wapi!? Siku hizi kuna darasa la saba humu JF! Ukijua nini maana ya kazi ndio utaelewa kuwa business deal ni sehemu ya kazi.
Modes watu wenye akili za darasa la 7 muwemnawatoa humu. Wanadhalilisha jukwaa letu.

Darasa la saba huyo unayemtetea mwenye digrii tatu anafanya kazi ya blogging. . . .
 
- Sasa unasema sisi ni sawa nyie mliokimbiza PhD kisa Degree ya usanii? please nyamaza tu hahahahahah

le Mutuz
Basi agombee mtoto wa nyumbani hapo Mtera, yaani kibajaj, maana kilidondosha tingatinga! Matokeo yake tingatinga likang'oa pampu zake za kuvuta maji visimani
 
Ivyi wewe Nani wakuyuambia sisi nini cha kufanyaaaa peleka maneno yako jikoni watu kama nyie ndio mnafanya Sisim ichukiwe kisaaaa mtoto wa mwafulani basi wazaniiiiii waweza fikaaaa maahali ukajiropokea tu
 
- Talking about kujiropokea tu hahahahahah

le Mutuz
 
Back
Top Bottom