CCM Tusifanye Makosa Tunatakiwa kuwa na Naibu Spika Msomi Hakuna Namna!

Kidumu chama cha mapinduzi!!!!

Mzee Bob,

Elimu ni kwa watoto wenye uwezo wa kusoma kwani elimu sio kwa wote, kuna mtoto wa Mwalimu Magige peke yake ndiye aliyekuwa na uwezo wa kusoma kwani wengine wote sio siri huo uwezo hawakuwa nao, sasa hata kama Mwalimu angejitahidi kiasi gani haikusadida kitu, halafu kumbuka kuwa wao jina lilikuwa linatosha kuwapa shule yoyote ile ndani na nje ya bongo kwa hiyo labda Mwalimu hakuwa na mali lakini Elimu hapana ni makosa ya watoto wenyewe,

Kwa mfano, Msekwa hakumsomesha mtoto wake huyu wa Foreign amejisomehsa mnwenyewe kwa ajili ya jina kapata shule Urusi na akaweza kupata kazi hapo protocl foreign, Mwinyi hakumsomesha Hussein, ni yeye mwenyewe aliyejisomesha Uturuki, sasa kwa sababu ya jina ni waziri, Vitalis hakusomeshwa na Kawawa, amejisomehsa yeye mwenyewe lakini baadaye jina limemsaidia kuwa mbunge, Swedi amejisomesha mwenyewe ila jina la baba lilimasaidia kuwa balozi UN, na sasa mbunge, William hakusomeshwa na JM amejisomesha mwenyewe kule NY sasa ndipo jina la baba linaingia kwani yuko njiani kurudi naye kupewa ubunge na baadaye atakuwa tu waziri no question about it, Januari amejisomesha mwenyewe kule US ndipo baadaye jina la baba Makamba ndio limemsogeza kuwa aide wa mzee JK,

sasa hii ni mifano michache ambayo wale wote wanaomlaumu Mwalimu kuhusu watoto wake kutokuwa na maendeleo wanapaswa kuieelewa na the fact kuwa wangejisomesha au angalau wangekuwa na uwezo wa kusoma, jina la baba yao lingewasaidia kwenda kokote wanakotaka, lakini kama huna uwezo wa kuiweza elimu jina haliwezi kukusaidia kitu ndio maana kina BM wamejitahidi kila njia kuwapa nafasi watoto wa Mwalimu kama Rose na Makongoro, lakini wasingweza kuwapa uwaziri kwani sio siri kuwa huo uwezo hawana, kutokana na kutokuwa na Elimu,

Karume watoto hawakusoma, isipokuwa wamebahatika kuwa katika mazingara yanayoruhusu kuwa viongozi bila ya kuwa na elimu ya kutosha, Ammani ndio kwanza anatafuta Degree pale Open University lakini ni rais wa ZNZB, kuhusu watoto wa viongozi na elimu mimi ninasema wapitie system yetu na watimize masharti yake kielimu ndipo majina ya baba zao yaingie kati sio kupata F kila siku halafu wanapewa nafasi nje za kusoma ndio maana USAID ilibidi waingile kati kwani walifahamishwa kuwa hawa watoto wa akina BM walikuwa ni mizigo kwa shule na kuziba nafasi wza wnegine tu, hakukuwa na kuonewa kwani kuna waliobaki wenye uwezo wa kusoma kama wa Mgaya, Chacha, JM, Ntagazwa, Mwambulukutu, ambao waliweza kujisomesha wenyewe mpaka mwisho, sasa hawa wengine waliorudishwa ni kwamba si kwamba walionewa hapana ni kwamba hawakuwa na uwezo wa kusoma hawa kina June, kina Magani hawakuwa na huo uwezo sio siri ukubwa wa wazazi wao usingeweza kusaidia kitu na unapaswa kutosaidia kitu, wasome kama sisi masikini au warudi nyumbani kama mtoto wa Rupia aliposhindwa kusoma tu akarudi nyumbani mapema na kuingia kwenye biashara za baba yake, na wengine wote warudi kwenye biashara za baba zao walizotuibia wananchi hela za kodi,

Back to the issue, suala la nyumba JK alipaswa kulisimamisha pale tu alipoingia, kama vile Bush alivyosimamisha sheria iliyopitishwa na Clinton ya serikali ya US kulipia abortions kwenye nchi zingine, hakuhitaji bunge wala kamati ya tume, ndio maana tunasema kuwa kuna walakini na hii issue bongo na nyumba, kwani lengo lake la kuhakikisha kuwa vigogo wote wana nyumba, lilitokana na marehemu Mnauye kufariki akiwa hana nyumba ikabidi mzee Makamba amfadhili aibu, ndipo vigogo walipomjia juu BM kuwa lazima wajengewe au wauziwe na serikali, sasa ninasema lengo limetimia ndio maana limesimamishwa, sasa huo ni uhuni wa siasa sio siasa au ni siasa za umaarufu tu yaani za short term fame, hazina faida yoyoyte kwa wananchi au taifa,

Mwanzoni nilikuwa na matumaini na mzee JK, lakini sasa nimeshanza kushituka kuwa ni yale yale tu, dalili nimeshaanza kuziona ila great ni kwamba Mtandao umeshaanza kuwa nyufa! Habari nilizonazo ni kwamba wanchama wengi wa mtandao wameanza kulalamika kuwa wametumia hela nyingi mno kumsaidia JK lakini uwezekano wa kurudisha hela zao unaonekana kutokuwepo na wengine wanadai Mzee JK amewatelekeza, ninajua kuwa kwenye kikao kimoja cha mtandao karibuni Mzee JK aliwatumia ujumbe kuwa ".........Mimi ni rais wa Tanzania nzima nimeupata kwa kuupigania kwa jasho langu, na sina ubia na mtu yoyote katika huu urais.............", sas politically what this means kwa bongo?

Ni kwamba soon tutasikia mifarakano ambayo itawafanya watoe siri zao katika kulumbana na kupakana matope, katika kutoa siri zao watatusaidia kujua madhambi yao kwa nchi na hata jinsi walivyovunja sheria zetu katika kutafuta power ambayo wameipata lakini ni clear kuwa competence inagomba, guys hawana ubavu wa kupambana na matatizo ya nchi yetu, ninasema hawana! Sasa Watanzania tuendelee tu kupigana na maisha yetu kama siku zote individually serikali hamna kitu, wewe rais wetu anasafiri na watu 50 katika hali hii ambayo nchi yetu imesimama kabisaa kiuchumi! Rais wetu hataki maswali ya kweli kwenye mikutano na wabongo nje? Why? anajua kuwa wabongo wa nje wanajua kinachoendelea na hawana sababu ya kumuogopa kumuuliza.

Haya another 10 years ya kurudi nyuma zaidi, ndio faida ya kuchagua serikali maarufu bila record, bila historia ya kuonyesha ila tu ushikaji tu hakuna kazi wala siasa ila ushikaji, sasa tutalipia for the next 10 years,

Mungu aibariki hii bongo!

Wewe tangu 2006 unaota ubunge na uwaziri lakini unaishia upambe wa mapedeshee na kupiga picha na le mutindiz, dah hii dunia sio fair Kabisa!
 
- Mwenyekiti wa CCM wa sasa ni PhD, anayekuja ni PhD so naibu spika ni muhimu akawa PhD, najua huko kwenu ni elimu za kuunga unga na kuongozwa na elimu ndogo CCM hatutaki hayo

le Mutuz

Le Mutus, Jakaya PhD yake aliandika dissertation/thesis yake ilikuwa juu ya nini?
 
- Kilichonileta hapa ilikuwa kumpigia debe Dr. Tulia mengine hayahusu au kama vepe fungulia thread yake hii haihusu ok so now naomba mniruhusu nurudi kwenye mambo mengine ya ujenzi wa Taifa guys!!

le Mutuz

Kwani ni nani ameleta mjadala wa kitabu cha Tsh. 400,000 hapa? Ni wewe mwenyewe umesema hapa kwamba umepublish kitabu chako mwenyewe ili kupunguza gharama. Sasa tukitaka ufafanuzi kidogo unadai thread mpya?
 
Le Mutuz,

Nasikia leo dada msomi kupita viwango vya kawaida kashindwa kujibu maswali ya kiufundi aliyoulizwa huko bungeni. Mbona anatia mashaka tena huyu msomi "aliyejiunga CCM siku mbili zilizopita" ili apewe kiti cha Unaibu Spika?
 


- Unasema hii CV ni sawa na boss wako wa Form Sixx? Please bana kuwa na heshima kidogo basi na Elimu kubwa

le Mutuz


Naibu Mwanasheria wa Serikali Kada wa Chama
Vipi inaendana na kauli mbiu hiyo hapo chini?



innerpage.png
 
- Eti tunaweweseka sisi au nyinyi? hahahaha Viti maalum mmetaka kuuana kama watoto wadogo kila mwenye nguvu huko anabeba hawara yake anaenda naye bungeni, mmemchukua hata baby wangu mmoja mmempeleka huko aibu sana U know!!

le Mutuz

hapo kwenye red sijakulewa .baby wako yuko kule same?
 
Back
Top Bottom