CCM Tusifanye Makosa Tunatakiwa kuwa na Naibu Spika Msomi Hakuna Namna!

W. J. Malecela

Verified Member
Mar 15, 2009
14,056
2,000
- Well, leo Asubuhi CCM imemchagua Mh. Job Ndugai kuwa Mgombea pekee wa chama hicho kwenye nafasi ya Uspika na sasa inabaki nafasi ya Naibu Spika. Kwanza ni muhimu sana Wabunge wetu wakazingatia jinsia kwa maana ya kwamba kwa vile Spika atakuwa ni Mwanaume basi ni muhimu sana Naibu Spika awe Mwanamke na muhimu kuliko yote awe na sifa ya elimu ya Sheria.

- Yaani Mwanamama anayeweza kusimamia Sheria katika kiti cha Uspika na kwa hilo Dr. Tulia Ackson anakuwa ni the best Candidate for the post, kama mwana CCM ninawasihi wale wote waliochukua fomu za Unaibu Spika kumpa nafasi huyu Mwana Dada kijana mdogo aliyekifanyia kazi njema sana Chama chetu cha CCM kwenye bunge la katiba na hata kwenye ishu ya Umbali unaotakiwa kisheria kwenye vituo vya kupigia kura, alionyesha msimamo mzuri sana wa kuelewa na kusimamia Sheria.

- Again CCM tutajisaidia sana kama tutaungana kumpa nafasi huyu Mwana Dada, ni matumaini yangu Wabunge wa CCM mnanisikia na kunisoma loud and Clear kwenye hili twende na Shule!!, kama itawapendeza mliochukua fomu za Unaibu Spika CCM zirudisheni kusudi twende kwa mbele na Elimu kwanza!!
- Le Mutuz Nation
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
85,588
2,000
kama mwana CCM ninawasihi wale wote waliochukua fomu za Unaibu Spika kumpa nafasi huyu Mwana Dada kijana mdogo aliyekifanyia kazi njema sana Chama chetu cha CCM kwenye bunge la katiba na hata kwenye ishu ya Umbali unaotakiwa kisheria kwenye vituo vya kupigia kura, alionyesha msimamo mzuri sana wa kuelewa na kusimamia Sheria.
Kwa maana hiyo wengine wote waliochukua fomu wajitoe ili abaki yeye tu mgombea wa hiyo nafasi na minajili hiyo kupita mchujo wa CCM bila kupinga!

Scratching My Head!!!
 

W. J. Malecela

Verified Member
Mar 15, 2009
14,056
2,000
Kuwa na naibu spika aliyechaguliwa na rais halafu utegemee bunge huru ni kujidanganya!
- Demokrasia yetu ni kama ya USA the Winner takes all, huwezi kushindana na Wabunge 73% waliochaguliwa na Wananchi huku una Wabunge 27%, mengine muwe mnanyamaza tu wacheni yawapite subirini kuuanaa kwenye viti maalum!!

le Mutuz
 

W. J. Malecela

Verified Member
Mar 15, 2009
14,056
2,000
Zungu ndiye chaguo sahih nafasi ya unaibu, ana uzoefu wa kuendesha bunge lakini pia ana busara, unavotaka tubalance mambo ya jinsia kwani tunafungisha ndoa bungeni?
- Zungu is the best ever ila hapa tunajali Shule zaidi na kidogo jinsia, so CCM kwanza mengine baadaye ok!!

le Mutuz
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
85,588
2,000
- Kama wengine wote walivyotolewa akapewa nafasi Lowassa, wasap Maaan hahahahaha worup my niggazzz!!

le Mutuz
Yeah, ndo mambo ya banana republic politics hayo.

Ni kama tu alivokatwa Lowassa na wengineo wengi wenye sifa na January Makamba kufika hadi 5 bora ya CCM.

Na leo hii wachukua fomu wengine wote wa hiyo nafasi kutoka CCM wajitoe ili hako ka dada kapite bila kupingwa.

Kama kweli kanazo sifa, kwa nini kasi compete kwa kuchaguliwa?

Still Scratching My Head!!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom