Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Huyu jamaa ni hopeless kabisa hajui maana ya uchaguzi.
Hizo sentensi mbili ndizo facts ambazo wewe na Makamba na Hiza hamtaki ziwe facts kwenu nikiongezea na fact ya Diwani wa TLP hamtaki kusikia kitu kama hicho but it is there.Pili, kulingana na katiba huyo mama wa Tanga ni mjumbe halali wa hilo baraza la jiji la Arusha.
Suala la kujiuzulu ni mpaka mkurugenzi wa jiji akitangaza na baada ya hapo uchaguzi utaitishwa.
Nisahihishe
Katibu wa Chama ngazi ya mkoa ni mtendaji na hivyo ni kazi ya ujira wa mwezi. Mbunge nayo ni kazi ya ujira wa mwezi, kwanini asiachane na Ukatibu wa Chama na kwenda kuwahudumia wale aliowatumia kama ngazi ya kupatia ubunge?
Hizo sentensi mbili ndizo facts ambazo wewe na Makamba na Hiza hamtaki ziwe facts kwenu nikiongezea na fact ya Diwani wa TLP hamtaki kusikia kitu kama hicho but it is there.
The same to you, you are free to buy Tambe's idea that Chatanda ni mbunge halali wa Arusha na uchaguzi ulikuwa halali mbali ya kukiuka 2/3 ya wajumbe.Wacha nikubali kutokukubaliana na wewe. Wale waliotaka kujua wameelewa, nikiendeleza kujadiliana na wewe itageuka kuwa mabishano badala ya kufahamishana.
Uko huru kuamini unavyoelewa kama nilivyo huru kuamini nilivyoelewa.
The same to you, you are free to buy Tambe's idea that Chatanda ni mbunge halali wa Arusha na uchaguzi ulikuwa halali mbali ya kukiuka 2/3 ya wajumbe.
Mkulima;
kwanza sio kweli kama Mbunge wa viti maalum hawana sehemu wanazotambuliwa ndani ya mamlaka zao;kwa mfano mbunge wa viti maalum Hilda Ngoye yeye anapiga kura yake kumchagua meya wa Mbeya tu kama ilivyo Zabida Masaburi kwa Dar;Mama Chitanda alipita kama Mbunge Maalum CCM Tanga na anapaswa kupiga kura yake Tanga tu kama ilivyo kwa Ms Bilal kupiga kura yake ZNZ.
Mkulima;
CCM ilikuwa na wapiga kura 17 kwenye uchaguzi ule wa kinyemela.Ukimtoa Mamluki Mama Mary Chitanda wa Tanga aliyekuja kupiga kura ARusha basi CCM itabaki na wapiga kura halali 16.Ukimtoa diwani wa TLP aliyeshiriki na CCM kabla ya kujizuru basi CCM inabaki na wapiga kura halali 15 tu na ukimtoa diwani wa CCM aliyejizuru juzi basi CCM inabaki na wapiga kura 14 tu halali!
Mkulima;
Kwa mtiririko huo basi ni wazi unajua sasa kwa nini CCM inamleta mamluki toka Tanga kuja kupiga kura Arusha!
Ongezea Vicky Kamata ni mbunge wa vitu Maalumu Mkoa wa Geita!
Kwa Geita pia Josephine T. Chengula alipitia kundi la mikoa, mkoa wa Geita.
Mkuu Sikonge If this is the case, Conclusion inayonijia haraka haraka in my own opinion ni kwamba hawa wabunge wa viti maalumu hawaiwakilishi demokrasia period!!
Wewe Afande Samwel vipi baada ya kaka yako kugaragazwa kule Kyela hutumii tena hilo jina huna lolote uwt.Quinine,
Unaanza sasa kuwa kituko humu ndani. Mjadala sasa unaelekea kwenye KATIBA zaidi na tumeacha Propaganda.
Unaingiza vifungu vingi sana humu ndani ambavyo unaanza kuonekana kama Lisanamu la Michelin vile.....
Vicky na Josephine wanaweza kwenda kuchagua Meya kule Mbeya?
Wewe Afande Samwel vipi baada ya kaka yako kugaragazwa kule Kyela hutumii tena hilo jina huna lolote uwt.
Naona umeelewa nilifikiri utaliendeleza nikukumbushe bifu lako na MKJJ mlipotoleana siri zenu zote ningezibandika tena hapa lakini kama nilivyosema mimi huwa kinyonga nacheza mziki wowote kadri mtu atakavyoupeleka.Mwanaume wa kweli mwenye kila kitu sawasawa, huwa ana SIFA moja kubwa sana.
"Akishindwa, basi husimama na kutoa mkono kushindwa."
Tuendelee na MJADALA sasa maana naona tumeshaelewana. Umemsikia lakini Fally Ipupa na J Martins? Au wewe ni Mazee Yusufu kama nduguyo Dr Dr Dr Dr Kikwete?
Kwa katiba iliyopo wangeweza kufanya hivyo kama vyama vyao vingewaruhusu na kuijulisha halmashauri husika. Sio kwamba unaenda kuchagua Meya tu bali inakuwa ndio official diwani wa halmashauri hiyo. Huwezi wiki nyingine ukahamia halmashauri nyingine.
Mbona huongelei wale wa CHADEMA waliopelekwa halmashauri ya Hai?
Naona umeelewa nilifikiri utaliendeleza nikukumbushe bifu lako na MKJJ mlipotoleana siri zenu zote ningezibandika tena hapa lakini kama nilivyosema mimi huwa kinyonga nacheza mziki wowote kadri mtu atakavyoupeleka.
Mkuu hata wewe kumbe unaweza kwenda low kiasi hiki? Nisaidie hicho kipengele cha katiba. Tuendelee kufunzana.