CCM tumieni busara, mnaitumbikiza nchi shimoni

torosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2020
Posts
1,114
Reaction score
2,088
Matamko ya juzi yameitenga kabisa Tanzania na Dunia

Imefika hatua mpaka waafrica wenzetu ( Ghana ) wanatoa tamko kuhusu hali ya Tanzania, na sasa kidogo kidogo tumeenza kukataliwa nje ya Africa.

Tukichelewa, tunaweza fika 2026 na jeraha ambalo litakua gumu au litachukua gharama kubwa kutibika.

Kwa sasa sio mfumo tena ni mtu, na tukiruhusu aendelee kutuchimbia hili kaburi, mwisho wa siku watanzania wote sio CCM wala Chadema, Wakristo au Waislam tutazikwa wote

Chukueni hatua
 
Pendekeza hatua
 
Waangalizi wa SADC tu kusema uchaguzi wetu haukuwa uchaguzi wa kidemokrasia tayari lilikuwa ni jambo la kushangaza. Kama hata waafrika wenzako hawa ambao tunajua wanavyolindiana madudu watakukataa, kuna nini hapo?
 
Matamko ya juzi yameitenga kabisa Tanzania na Dunia

Imefika hatua mpaka waafrica wenzetu ( Ghana ) wanatoa tamko kuhusu hali ya Tanzania, na sasa kidogo kidogo tumeenza kukataliwa nje ya Africa.

Tukichelewa, tunaweza fika 2026 na jeraha ambalo litakua gumu au litachukua gharama kubwa kutibika.

Kwa sasa sio mfumo tena ni mtu, na tukiruhusu aendelee kutuchimbia hili kaburi, mwisho wa siku watanzania wote sio CCM wala Chadema, Wakristo au Waislam tutazikwa wote

Chukueni hatua
Kwa muundo wa uongozi wa CCM wala hakuna wa kumfanya lolote M!kiti wao! Labda baada ya hapa ndipo wataona uhatali wa kuwa Rais then kuwa chairman wa chama.
 
Matamko ya juzi yameitenga kabisa Tanzania na Dunia

Imefika hatua mpaka waafrica wenzetu ( Ghana ) wanatoa tamko kuhusu hali ya Tanzania, na sasa kidogo kidogo tumeenza kukataliwa nje ya Africa.

Tukichelewa, tunaweza fika 2026 na jeraha ambalo litakua gumu au litachukua gharama kubwa kutibika.

Kwa sasa sio mfumo tena ni mtu, na tukiruhusu aendelee kutuchimbia hili kaburi, mwisho wa siku watanzania wote sio CCM wala Chadema, Wakristo au Waislam tutazikwa wote

Chukueni hatua
Lakini hicho si ndo nyie wanaharakati mnachokipenda?
Nchi maskini zitaendelea kuwa maskini kwa sababu zinatengeneza matatizo bandia halafu zinatumia muda mwingi kuyatatua na kusahau matatizo yao halisi yanayowakabili.
Nimeanza kuwaelewa waliosema ni bora kuwa mbwa ulaya kuliko kuishi afrika. Watu weusi evolution haijakamilika, wazungu kutuita nyani ni kama favour kwa sababu hata nyani wanatuzidi akili na maarifa.
 
Nenda south Sudan ..

neno sudani lenyewe kiarabu, afrika ya maana ni kusini ya tanzagiza tu basi kuanzia nyanda za juu kusini kushuka zambia, malawi mpaka namibia, botswana, angoka na ak kote no muslims, huko ndiyo naweza kuhamia kwa maana no muslims lkn the rest ni shithole …
 
Pendekeza hatua
1764872139696.jpeg
 
Matamko ya juzi yameitenga kabisa Tanzania na Dunia

Imefika hatua mpaka waafrica wenzetu ( Ghana ) wanatoa tamko kuhusu hali ya Tanzania, na sasa kidogo kidogo tumeenza kukataliwa nje ya Africa.

Tukichelewa, tunaweza fika 2026 na jeraha ambalo litakua gumu au litachukua gharama kubwa kutibika.

Kwa sasa sio mfumo tena ni mtu, na tukiruhusu aendelee kutuchimbia hili kaburi, mwisho wa siku watanzania wote sio CCM wala Chadema, Wakristo au Waislam tutazikwa wote

Chukueni hatua
Naiona JWTZ kutokuitwa tena kwenye peace keeping missions zozote.
 
washakunywa damu za watu ,sidhani kama watakuelewa
 
Back
Top Bottom