CCM tumemsajili Hamisa Mobeto hongera CCM mpya

CCM tumemsajili Hamisa Mobeto hongera CCM mpya

Hii nchi wacha tu tuishi maana ndiyo kwetu hatuna option
Akili MBOFU MBOFU ya maccm hivi huyo kuwepo ccm kunawaongezea nini Watanzania ambao wanaona hali ya maisha inazidi kuwa ngumu kila kunapokucha?

Wafanyakazi mwaka wa tano sasa hawajaongezewa mishahara, je, mobeto ataongeza mishahara?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Sasa mleta mada unajivunia kupokea Wahuni wa bongo movie ndani ya chama?
Daah akili zingine bhn.
 
🤣🤣🤣🤣 mtu akisogelea tu atapewa onyo kali kama hatatii demotion inamuhusu karani wa kawaida na kutupwa nanjilinji au kibondo
😜😜😜😜😜

Wanaongeza vipozea vya wakubwa n aole wak mtu asogelee ni mwendo wa kutumbuliwa tu
 
Hatimae CCM wameona PH.d wananchi hawazielewi,wameona bora watu dizaini ya Hamisa ndio vichwa makini kabisa vitakavyoongeza viwanda.
Untitled-11.jpg


Wamewachoka hawa, wanatafutwa damu mpya...
 
Hapana chezea kitoweo cha mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu akisogelea tu atapewa onyo kali kama hatatii demotion inamuhusu karani wa kawaida na kutupwa nanjilinji au kibondo
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Huyo missa nishawahi kupita nae hana jipya...!
Halafu cha hata jf haijui, kilaza sana huyo na maccm mengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti hata Jf haijui lol, mwenzio yuko bizze na IG
 
Wanaongezwa vyakula vya wakubwa, sasa kina DAS wajichanganye n kutumbuliwa tyuuh.
 
Akili MBOFU MBOFU ya maccm hivi huyo kuwepo ccm kunawaongezea nini Watanzania ambao wanaona hali ya maisha inazidi kuwa ngumu kila kunapokucha?

Wafanyakazi mwaka wa tano sasa hawajaongezewa mishahara, je, mobeto ataongeza mishahara?
Sasa mkuu ugumu wa maisha yako unahusiana vp na ccm au hao unaowaona wewe je ukiwapa watakurahisishia?
 
Akili MBOFU MBOFU ya maccm hivi huyo kuwepo ccm kunawaongezea nini Watanzania ambao wanaona hali ya maisha inazidi kuwa ngumu kila kunapokucha?

Wafanyakazi mwaka wa tano sasa hawajaongezewa mishahara, je, mobeto ataongeza mishahara?
Kwa uono wa juu juu huwezi ona ccm wanachofanya, lkn watz wengi hupenda mambo ya hovyo honyo, ninao uhakika followers wa huyo d kwenye mitandao hauwezi kuwapata hata nusu yake,. Wanaofuatilia issues zake ni wengi kuliko wanaofuatilia issues zako na za mleta mada mkichanganywa pamoja!
Na hao wanaofuatilia issue zake ndio wapiga kura ccm inawahitaji kuliko huyo Hamisa mwenyewe, ukilielewa hilo ndio utajua kwanini watu wanasomea sayansi ya siasa na upinzani unakwama wapi
 
Back
Top Bottom