CCM tumemsajili Hamisa Mobeto hongera CCM mpya

Akili MBOFU MBOFU ya maccm hivi huyo kuwepo ccm kunawaongezea nini Watanzania ambao wanaona hali ya maisha inazidi kuwa ngumu kila kunapokucha?

Wafanyakazi mwaka wa tano sasa hawajaongezewa mishahara, je, mobeto ataongeza mishahara?

Hatimae CCM wameona PH.d wananchi hawazielewi,wameona bora watu dizaini ya Hamisa ndio vichwa makini kabisa vitakavyoongeza viwanda.
 
Najua hilo Mkuu lakini kama alivyosema Askofu Bagonza kwamba tulipokuwa na Chuo Kikuu kimoja hatukuwa na wajinga wengi Nchini kama leo hii ambapo tuna vyuo vikuu vingi. Mtu ataipigia kura ccm kwa sababu tu mobeto ni ccm bila ya kutathmini maisha yake katika hii miaka mitano ya mume wake Jokate AKA yesu fake kama amesonga mbele kimaisha au karudi nyuma.

Hawa wanatumika wakati wa kampeni
 
Wanafurahisha sana hawa kijani, eti wanajivunia kuwa na Hamisa? Kuwa na Harmonize? Kuwa na Stive Nyerere!
Hatimae CCM wameona PH.d wananchi hawazielewi,wameona bora watu dizaini ya Hamisa ndio vichwa makini kabisa vitakavyoongeza viwanda.
 
Back
Top Bottom