CCM tumeipenda wenyewe

CCM tumeipenda wenyewe

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Sisi wana CCM pamoja na shida zoote tunazo zipata lkn hatujali maana tumeipenda wenyewe.

Nyie wapinzani mnao ikosoa CCM naona mnatuonea wivu tu na mtuwache tuendelee na maisha yetu bora haya tuliyo nayo.
FB_IMG_1575349995632.jpeg
FB_IMG_1575350027977.jpeg
FB_IMG_1575350037781.jpeg
FB_IMG_1575350015521.jpeg
 
Watanzania wana hitaji sana mabadiriko ila hao wapinzani wakuleta hayo mabadiriko ndio hawapo
 
Back
Top Bottom