CCM tumeipenda wenyewe

CCM tumeipenda wenyewe

ndoa ya kikristo hiyo - ha ha ha hadi kifo kiwatengenishe - yeye na ccm yake hadi kaburini.
 
Wapinzani wapo ila tumeamua kuwashindisha mahakamani kila uchao unategemea watawezaje kuyaleta hayo mabadiliko?
Watanzania wana hitaji sana mabadiriko ila hao wapinzani wakuleta hayo mabadiriko ndio hawapo
 
Kubweka mmezoea nyinyi uvccm, lkn sisi ccm asilia tuna ienzi ccm yetu kama hivi
Acha kubweka mtandaoni kafanye kazi
FB_IMG_1575350027977.jpeg
 
Wa kwenu anapiga ela za ruzuku na anawapiga nyinyi pia
@Mmawia na Machadema wenzako mmeishiwa hoja sasa mmeanza vituko, mwenyekiti wenu wa maisha anapiga hela za ruzuku tu
 
Back
Top Bottom