Mtulia si alikuwa mbunge ...mimi nadhani Anabidi akale aliko pekeka mboga sisi wanakinondoni tutamchagua salim mwalimu ambaye akuwahi kuwa mbunge.Katika uchaguzi wa kinondoni tusitegemee siasa za majukwaani, tufanye siasa za nyumba kwa nyumba kila mtaa na ubalozi upite mlango kwa mlango wakihimiza watu kupiga kura, pia gaweni commitment form kila mtu ajaze anatarajia nini kutoka kwa mbunge wake ili kujua nini hasa hitaji la wana kinondoni, unaweza dhani shida yao ni barabara kumbe shida yao ni usumbufu wa vibaka, ukosefu wa soko na kukosekana maegesho ya bodaboda,
Katika uchaguzi wa kinondoni tusitegemee siasa za majukwaani, tufanye siasa za nyumba kwa nyumba kila mtaa na ubalozi upite mlango kwa mlango wakihimiza watu kupiga kura, pia gaweni commitment form kila mtu ajaze anatarajia nini kutoka kwa mbunge wake ili kujua nini hasa hitaji la wana kinondoni, unaweza dhani shida yao ni barabara kumbe shida yao ni usumbufu wa vibaka, ukosefu wa soko na kukosekana maegesho ya bodaboda,
Muulizeni mtulia kasahau nini kwenye ubunge?Katika uchaguzi wa kinondoni tusitegemee siasa za majukwaani, tufanye siasa za nyumba kwa nyumba kila mtaa na ubalozi upite mlango kwa mlango wakihimiza watu kupiga kura, pia gaweni commitment form kila mtu ajaze anatarajia nini kutoka kwa mbunge wake ili kujua nini hasa hitaji la wana kinondoni, unaweza dhani shida yao ni barabara kumbe shida yao ni usumbufu wa vibaka, ukosefu wa soko na kukosekana maegesho ya bodaboda,
Yaliyowapata 2015 bado hamjayasahau....Kwanini mnataka kumpa ubunge Mtulia ambaye ameukataa ubunge na kujiuzulu??
haya ndiyo maswali mtakayoulizwa na hao wananchi.
CCM maji yamewafika utosini.
Yaliyowapata 2015 bado hamjayasahau....
Haikuwa rahisi kuwatumikia wananchi kupitia CUF, ukishirikiana na lipumba maalim anakufukuza ukishirikiana na Maalim lipumba anakufukuza, ccm ndio mahala pake tayari pesa zipo ni kiasi cha kuelekeza ziende pale au kule,
salum hajui shida za kinondoni hajui desturi za wana kinondoni hawezi kuwaletea maendeleo
Kampeni ya mlango kwa mlango ya nini wakati ushindi tayari?Katika uchaguzi wa kinondoni tusitegemee siasa za majukwaani, tufanye siasa za nyumba kwa nyumba kila mtaa na ubalozi upite mlango kwa mlango wakihimiza watu kupiga kura, pia gaweni commitment form kila mtu ajaze anatarajia nini kutoka kwa mbunge wake ili kujua nini hasa hitaji la wana kinondoni, unaweza dhani shida yao ni barabara kumbe shida yao ni usumbufu wa vibaka, ukosefu wa soko na kukosekana maegesho ya bodaboda,
Kwani ni mgao!Mtulia si alikuwa mbunge ...mimi nadhani tuchague salim mwalimu ambaye akuwahi kuwa mbunge.
Mtulia hajawahi kuukataa ubunge bali chama ambapo kwa mujibu wa katiba ILIMLAZIMU kuacha ubunge,kwa kuwa ana unfinished business he has to finish them up.Kwanini mnataka kumpa ubunge Mtulia ambaye ameukataa ubunge na kujiuzulu??
haya ndiyo maswali mtakayoulizwa na hao wananchi.
CCM maji yamewafika utosini.
Unakera kama nziMtulia hajawahi kuukataa ubunge bali chama ambapo kwa mujibu wa katiba ILIMLAZIMU kuacha ubunge,kwa kuwa ana unfinished business he has to finish them up.
Labda muwaambie tume na polccm wawasaidie,mkija majumbani mwetu kuna mbwa wakali,mkija kuomba kura mnapiga magoti,mnapiga pushup na vionjo vyote tuwaone watu mkishapata tu mnakuja bomoa nyumba zetu.Katika uchaguzi wa kinondoni tusitegemee siasa za majukwaani, tufanye siasa za nyumba kwa nyumba kila mtaa na ubalozi upite mlango kwa mlango wakihimiza watu kupiga kura, pia gaweni commitment form kila mtu ajaze anatarajia nini kutoka kwa mbunge wake ili kujua nini hasa hitaji la wana kinondoni, unaweza dhani shida yao ni barabara kumbe shida yao ni usumbufu wa vibaka, ukosefu wa soko na kukosekana maegesho ya bodaboda,
Katika uchaguzi wa kinondoni tusitegemee siasa za majukwaani, tufanye siasa za nyumba kwa nyumba kila mtaa na ubalozi upite mlango kwa mlango wakihimiza watu kupiga kura, pia gaweni commitment form kila mtu ajaze anatarajia nini kutoka kwa mbunge wake ili kujua nini hasa hitaji la wana kinondoni, unaweza dhani shida yao ni barabara kumbe shida yao ni usumbufu wa vibaka, ukosefu wa soko na kukosekana maegesho ya bodaboda,
Sababu za Wazanzibari wenzie kumkataa 2015 unazijua?Mtulia si alikuwa mbunge ...mimi nadhani tuchague salim mwalimu ambaye akuwahi kuwa mbunge.
Kinondoni haina mwenyewe,asilimia kubwa ya wakazi wake ni wageni amabao wengi wamepanga nyumba za wenyeji waliohamia nje ya mji,so hakuna desturi za wana kinondoni,inshu hapa ni maendeleo,na Tanzzania ya leo yote inafahamika mahitaji yake,Huyu Mtulia alifanya nini kwa kipindi chake hicho kifupi alichoongoza? Sikuwahi kumwona hata siku moja mtaani kwangu akifanya mkutano na kutupa mrejesho wa kazi zake zaidi ya kusikia kijiudhuru tena anautaka huo ubunge.Watanzania wa leo sio wa jana.Haikuwa rahisi kuwatumikia wananchi kupitia CUF, ukishirikiana na lipumba maalim anakufukuza ukishirikiana na Maalim lipumba anakufukuza, ccm ndio mahala pake tayari pesa zipo ni kiasi cha kuelekeza ziende pale au kule,
salum hajui shida za kinondoni hajui desturi za wana kinondoni hawezi kuwaletea maendeleo
We unataka tumpe kura mtulia. ..alafu aje ajiudhuru..tena ...sisi atuwezi ...kuchagua ..mamento.Kinondoni haina mwenyewe,asilimia kubwa ya wakazi wake ni wageni amabao wengi wamepanga nyumba za wenyeji waliohamia nje ya mji,so hakuna desturi za wana kinondoni,inshu hapa ni maendeleo,na Tanzzania ya leo yote inafahamika mahitaji yake,Huyu Mtulia alifanya nini kwa kipindi chake hicho kifupi alichoongoza? Sikuwahi kumwona hata siku moja mtaani kwangu akifanya mkutano na kutupa mrejesho wa kazi zake zaidi ya kusikia kijiudhuru tena anautaka huo ubunge.Watanzania wa leo sio wa jana.