Katika uchaguzi wa kinondoni tusitegemee siasa za majukwaani, tufanye siasa za nyumba kwa nyumba kila mtaa na ubalozi upite mlango kwa mlango wakihimiza watu kupiga kura, pia gaweni commitment form kila mtu ajaze anatarajia nini kutoka kwa mbunge wake ili kujua nini hasa hitaji la wana kinondoni, unaweza dhani shida yao ni barabara kumbe shida yao ni usumbufu wa vibaka, ukosefu wa soko na kukosekana maegesho ya bodaboda,