CCM tufanye kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
14,982
9,873
Katika uchaguzi wa kinondoni tusitegemee siasa za majukwaani, tufanye siasa za nyumba kwa nyumba kila mtaa na ubalozi upite mlango kwa mlango wakihimiza watu kupiga kura, pia gaweni commitment form kila mtu ajaze anatarajia nini kutoka kwa mbunge wake ili kujua nini hasa hitaji la wana kinondoni, unaweza dhani shida yao ni barabara kumbe shida yao ni usumbufu wa vibaka, ukosefu wa soko na kukosekana maegesho ya bodaboda,
 
Mtulia si alikuwa mbunge ...mimi nadhani Anabidi akale aliko pekeka mboga sisi wanakinondoni tutamchagua salim mwalimu ambaye akuwahi kuwa mbunge.
 
Katika uchaguzi wa kinondoni tusitegemee siasa za majukwaani, tufanye siasa za nyumba kwa nyumba kila mtaa na ubalozi upite mlango kwa mlango wakihimiza watu kupiga kura, pia gaweni commitment form kila mtu ajaze anatarajia nini kutoka kwa mbunge wake ili kujua nini hasa hitaji la wana kinondoni, unaweza dhani shida yao ni barabara kumbe shida yao ni usumbufu wa vibaka, ukosefu wa soko na kukosekana maegesho ya bodaboda,

Kwanini mnataka kumpa ubunge Mtulia ambaye ameukataa ubunge na kujiuzulu??

haya ndiyo maswali mtakayoulizwa na hao wananchi.

CCM maji yamewafika utosini.
 
Muulizeni mtulia kasahau nini kwenye ubunge?
 
Haikuwa rahisi kuwatumikia wananchi kupitia CUF, ukishirikiana na lipumba maalim anakufukuza ukishirikiana na Maalim lipumba anakufukuza, ccm ndio mahala pake tayari pesa zipo ni kiasi cha kuelekeza ziende pale au kule,

salum hajui shida za kinondoni hajui desturi za wana kinondoni hawezi kuwaletea maendeleo
 
haya maelezo ya kipumbavu hata house girl hayakubali.
 
Hahaha nyumba zote ni cuf na chadema, mtapigwa kwa maudhi. CCM huwa aichaguliwi, Kwani tume na polisi wameshindwa/wamekataa kusaidia kabisa ?!
 
Katika uchaguzi wa kinondoni tusitegemee siasa za majukwaani, tufanye siasa za nyumba kwa nyumba kila mtaa na ubalozi upite mlango kwa mlango wakihimiza watu kupiga kura, pia gaweni commitment form kila mtu ajaze anatarajia nini kutoka kwa mbunge wake ili kujua nini hasa hitaji la wana kinondoni, unaweza dhani shida yao ni barabara kumbe shida yao ni usumbufu wa vibaka, ukosefu wa soko na kukosekana maegesho ya bodaboda,
Kampeni ya mlango kwa mlango ya nini wakati ushindi tayari?
 
Kwanini mnataka kumpa ubunge Mtulia ambaye ameukataa ubunge na kujiuzulu??

haya ndiyo maswali mtakayoulizwa na hao wananchi.

CCM maji yamewafika utosini.
Mtulia hajawahi kuukataa ubunge bali chama ambapo kwa mujibu wa katiba ILIMLAZIMU kuacha ubunge,kwa kuwa ana unfinished business he has to finish them up.
 
Katika uchaguzi wa kinondoni tusitegemee siasa za majukwaani, tufanye siasa za nyumba kwa nyumba kila mtaa na ubalozi upite mlango kwa mlango wakihimiza watu kupiga kura, pia gaweni commitment form kila mtu ajaze anatarajia nini kutoka kwa mbunge wake ili kujua nini hasa hitaji la wana kinondoni, unaweza dhani shida yao ni barabara kumbe shida yao ni usumbufu wa vibaka, ukosefu wa soko na kukosekana maegesho ya bodaboda,
Labda muwaambie tume na polccm wawasaidie,mkija majumbani mwetu kuna mbwa wakali,mkija kuomba kura mnapiga magoti,mnapiga pushup na vionjo vyote tuwaone watu mkishapata tu mnakuja bomoa nyumba zetu.
 
Katika uchaguzi wa kinondoni tusitegemee siasa za majukwaani, tufanye siasa za nyumba kwa nyumba kila mtaa na ubalozi upite mlango kwa mlango wakihimiza watu kupiga kura, pia gaweni commitment form kila mtu ajaze anatarajia nini kutoka kwa mbunge wake ili kujua nini hasa hitaji la wana kinondoni, unaweza dhani shida yao ni barabara kumbe shida yao ni usumbufu wa vibaka, ukosefu wa soko na kukosekana maegesho ya bodaboda,

Mtulia lazima anayo majibu ya maswali hayo.. si alikuwa mbunge wa jimbo hilo, au unataka kusemaje? Hata hivyo namb ya simu si anayo sasa, shida iko wapi.
 
Mtulia si alikuwa mbunge ...mimi nadhani tuchague salim mwalimu ambaye akuwahi kuwa mbunge.
Sababu za Wazanzibari wenzie kumkataa 2015 unazijua?

Mtu kakataliwa kwao na ndugu zake wanaomjua tangu anazaliwa ndio mje muwabambikize hilo fafa wana Kinondoni?

Tumejipanga kuwasaidia wana Kinondoni kumkataa Mhamiaji haramu toka Zanzibar!
 
Haikuwa rahisi kuwatumikia wananchi kupitia CUF, ukishirikiana na lipumba maalim anakufukuza ukishirikiana na Maalim lipumba anakufukuza, ccm ndio mahala pake tayari pesa zipo ni kiasi cha kuelekeza ziende pale au kule,

salum hajui shida za kinondoni hajui desturi za wana kinondoni hawezi kuwaletea maendeleo
Kinondoni haina mwenyewe,asilimia kubwa ya wakazi wake ni wageni amabao wengi wamepanga nyumba za wenyeji waliohamia nje ya mji,so hakuna desturi za wana kinondoni,inshu hapa ni maendeleo,na Tanzzania ya leo yote inafahamika mahitaji yake,Huyu Mtulia alifanya nini kwa kipindi chake hicho kifupi alichoongoza? Sikuwahi kumwona hata siku moja mtaani kwangu akifanya mkutano na kutupa mrejesho wa kazi zake zaidi ya kusikia kijiudhuru tena anautaka huo ubunge.Watanzania wa leo sio wa jana.
 
We unataka tumpe kura mtulia. ..alafu aje ajiudhuru..tena ...sisi atuwezi ...kuchagua ..mamento.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom