CCM they used the word "Wanyonge" to deceive ignorant

To be honest Hon JP , has arledy lost influence, so he used the Word " "Wanyonge" in order to find sympathetic .

Fedha za kugharamia mikutano mikubwa ya kifahari Dodoma na kuwaruhusu wajumbe wote zaidi ya elfu mbili waondoke na chupa za wine zimetoka wapi? Ni za chama kweli? Sio pesa za hawa wanaoitwa wanyonge kwa Kodi zao wakati wanyonge wenyewe wanakimbizana na tumbili/ngedere mashambani kunyang'anyana ndizi? Tafadhali tumuogope Mungu. Tuache kuwadhalilisha wananchi kwa kigezo cha kuwatetea eti wanyonge wakati unyonge wao ndiyo shibe yako kisiasa na kiuchumi
 
Wanyonge wanalipa milioni moja na laki moja kuchukua fomu za kugombania u Bunge.
 
Back
Top Bottom