CCM tayari wahonga wabunge sita kutoka UKAWA ili warejee bungeni

why

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
203
82
Baada ya kikao cha maridhiano kushindikana jana ccm imefanya mkakati wa kuvwahonga wajumbe kutoka ukawa ikiwa ni mbinu ya kudhoofisha nguvu na umoja ndani ya ukawa, mkakakti huo umefanyika na kutekelezwa na kiongozi mwandamizi wa ccm wakishirikiana na moja ya wajumbe ambao wapo nje ya ukawa kutoka vyama vya siasa ambavyo havimo ndani ya ukawa.

Swali la kujiuliza kama haupo ulazima wa ukawa na ccm wanao uwezo wa kupitisha katiba ni kwa nini watumie fedha kuhonga na kuvuruga umoja wa ukawa? Na wajumbe hawa wanaokubali kuhongwa na ccm ili kuonesha wao hawakubaliani na ukawa je huo ndio uzalendo kwa kukanyaga maoni ya watanzania?
 
Habari zina zagaa wacha tuone kama hao sita watarudi hata baada ya kujua kwamba watanzania wana habari juu ya wao kuchukua mulungula .
 
JF inazidi kuzalisha watu waoga,nini kimekufanya usiweke taarifa kamili au usubiri mpaka upate taarifa yote ndipo uje humu?
 
Hiyo ni njaa iliyoambatana na moyo wa usaliti kwa watanzania.kifupi hao wabunge waliopekea hiyo kitu ni vibaraka.
 
Kuna maana gani kutumia jina ambalo sio halisi halafu ufichefiche mambo weka majina hadharani vinginevyo hizo ni taarabu tu
 
Kwanza hili (pamoja na kwamba sina uhakika kama ni kweli) lisingefanyika ningeshangaa sana na ninahisi hata posho ya siku inaweza kuongezwa na kutangazwa hapa na pale ili wenye tamaa ya fedha wajipelekee wenyewe, siku bado chache, tusubiri tuone.
 
weka majina ya waliopewa pesa na wamepewa na nani

na walipewa wapi na kutumia njia gani

vingenevyo FUNGA KANGA UKAKOGE umbea si fani yako
 
hao wajumbe hawana majina? tuache porojo kwenye mambo ya msingi.

Baada ya kikao cha maridhiano kushindikana jana ccm imefanya mkakati wa kuvwahonga wajumbe kutoka ukawa ikiwa ni mbinu ya kudhoofisha nguvu na umoja ndani ya ukawa, mkakakti huo umefanyika na kutekelezwa na kiongozi mwandamizi wa ccm wakishirikiana na moja ya wajumbe ambao wapo nje ya ukawa kutoka vyama vya siasa ambavyo havimo ndani ya ukawa.

Swali la kujiuliza kama haupo ulazima wa ukawa na ccm wanao uwezo wa kupitisha katiba ni kwa nini watumie fedha kuhonga na kuvuruga umoja wa ukawa? Na wajumbe hawa wanaokubali kuhongwa na ccm ili kuonesha wao hawakubaliani na ukawa je huo ndio uzalendo kwa kukanyaga maoni ya watanzania?
 
Ukweli karibu utajulikana kuhusu nani hasa hana nia ya kuleta Katiba Mpya
 
Lisemwalo lipo laja, kama halipo liko njiani laja.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom