. Acha majungu kama unashida zako binafsi na huyo miraji mufate. Who is miraji anyways? Jibu swali acha longolongo.Umetumwa na Miraji wewe si bure.
Ari Mpya, Nguvu Mpya na Kasi Mpya
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!!!
Ari Zaidi, Nguvu Zaidi na Kasi Zaidi
KIGUMU CHAMA CHA MAFISADI!!!!
Azadirachta, nadhani ulimaanisha Mt.Vernon ni mahali poa kwa wabongo wengi wana ushirikiano sana watu wa hapo na mpaka kuna wazee wetu pale, ila pia kuna aina tatu za hawa wana CCM wa matawi ya ughaibuni.Nadhani mzee wa Vermont anahusika na hili!
Azadirachta, nadhani ulimaanisha Mt.Vernon ni mahali poa kwa wabongo wengi wana ushirikiano sana watu wa hapo na mpaka kuna wazee wetu pale, ila pia kuna aina tatu za hawa wana CCM wa matawi ya ughaibuni.
1. CCM Damu- ni kundi la wana CCM ambao wanaipenda CCM kwa dhati, ni watoto wa viongozi, wamezaliwa CCM na hata liwake jua, inyeshe mvua, hawataiacha CCM kamwe na watafia CCM.
3. Wafaidika-hili ni kundi la wale wanaofaidika na uwepo wa CCM madarakani, wanaipenda CCM just for convenience kwa sababu CCM imewafikisha hapo walipo, hawa sio commited sana, wengi ni wafanya biashara, watatumia fedha zao kuifadhili CCM sio kwa sababu wanaipenda sana, bali kulinda status quo zao, CCM ikipigwa chini, convenience inaisha, wataitosa.
3.Waganga njaa- Hawa ndio kundi kubwa zaidilikijumuisha ma loosers kibao ambao wanaikumbatia CCM wakitafuta opportunities za kutokea, hawa wanachoipendea CCM ni njaa zao tuu, CCM ikipigwa chini, wataachia ngazi na utaanza kusikia matawi ya Chadema ughaibuni.
unfortunately hii imetoka kwako mtu ambaye kidogo nilikuwa nadhani unaweza kuvumilia tofauti za kisiasa, nina swali dogo tu kwako,unaweza kuniambia wewe upo kwenye kundi gani kati ya hayo(kwenye whatever political view uliyonayo)?
Wewe Burn ukokundi gani? Mimi niko la kwanza.
Mimi sio mtoto wa fisadi au kigogo bali nawatu wangu ndani ya chamaBahati mbaya sifiti kwenye hizo kategorizi za Pasco, hilo la kwanza pia si baya kwani kuzaliwa na wazee wa CCM ni bahati, fikiria ungekuwa ni mtoto wa mzee wa CHADEMA maana ungerithi ubishi, matusi, vitisho na kumiliki madanguro.
Mimi sio mtoto wa fisadi au kigogo bali nawatu wangu ndani ya chama