CCM tawi la Marekani, swali dogo

Azadirachta, nadhani ulimaanisha Mt.Vernon ni mahali poa kwa wabongo wengi wana ushirikiano sana watu wa hapo na mpaka kuna wazee wetu pale, ila pia kuna aina tatu za hawa wana CCM wa matawi ya ughaibuni.
1. CCM Damu- ni kundi la wana CCM ambao wanaipenda CCM kwa dhati, ni watoto wa viongozi, wamezaliwa CCM na hata liwake jua, inyeshe mvua, hawataiacha CCM kamwe na watafia CCM.
3. Wafaidika-hili ni kundi la wale wanaofaidika na uwepo wa CCM madarakani, wanaipenda CCM just for convenience kwa sababu CCM imewafikisha hapo walipo, hawa sio commited sana, wengi ni wafanya biashara, watatumia fedha zao kuifadhili CCM sio kwa sababu wanaipenda sana, bali kulinda status quo zao, CCM ikipigwa chini, convenience inaisha, wataitosa.
3.Waganga njaa- Hawa ndio kundi kubwa zaidilikijumuisha ma loosers kibao ambao wanaikumbatia CCM wakitafuta opportunities za kutokea, hawa wanachoipendea CCM ni njaa zao tuu, CCM ikipigwa chini, wataachia ngazi na utaanza kusikia matawi ya Chadema ughaibuni.

Mkuu uchambuzi yakinifu huu!

Ila kweli kuna CCM damu?basi kama wapo ni asilimia chache sana 0.5%

Nadhani makundi makubwa ni hayo ya Waganga njaa na wafaidika

Mzee Mzima Malecela ameng'oa mashine za maji huko Mtera bwawani sababu wananchi hawana shukrani hawakumchagua! Huyu mzee nadhani anaingia kundi la wafaidika.
 
Houston mnachekesha sana!
Kisa gani cha kuanzisha tawi lenu then mliite tawi la CCM Marekani? Kuna 50 states hapa US na kila state ina sheria zake, watu wake na mabo yake kuanzia kwa wamarekani wenyewe hadi watanzania.
Ni sawa na kuanzisha tawi then uliite tawi la CCM Europe, doest it make any sense kweli. Kama mmeanzisha matawi yenu huko yawe ya CCM, CUF ama Chadema basi myaite tawi---Huoston na sio Marekani kwani sio watu wote wenye akili fupi na njaa ya kushabikia siasa za upuuzi.
Tawi hilo majority ya watu hapa US hatuna habari hadi juzi tulipoona hizo habari kwenye michuzi blog.
Tupatieni contacts za tawi, mnafichaficha tuu ama ndio matawi ya bloguni?
Utajiri wote CCM waliokuwa nao basi hata website inawashinda?
Where is the physical address, phone, fax?
Nani ni mwenekiti na wajumbe?
Mlianza wizi wa chips pale Compaq na HP wengi wenu mkaishia jela.
Mkaanza ku-forge cheki mkaishia pabaya.
Mkaanza shoplifting pale Galeria Mall, na kujirusha na mapopo mpaka wamewachoka, sasa deal mmeona ni kuanzisha matawi ya vyama.CCM/Chadema...mmmnnhhh
shule kichwani hamna ni vilaza na ndo maana hamna cha kufanya mnaishia kuanzisha mtawi uchwara ya kwenye blogs.
Kuweni na akili na muache ujinga.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom