CCM Taifa Ikemee Vijana wake, Vinginevyo...

Nimesoma lile tamko la uvccm, nimegundua kuwa uwezo kujenga hoja wa uvccm ni mdogo kupita kiasi, huwezi ukajenga hoja ya kuleta malidhaiano, amani, na upendo kwa matusi. Kwa mujibu wa tume ya uchaguzi watanzania zaidi ya miolini mbili walimchagua dr.slaa akiwatayari na tuhuma hizo, kuendeleza tuhuma zilezile leo na kuongeza matusi ni kukosa mwelekeo. Tunashukuru tamko lao lipo kimandishi hatua za kisheraia zinaweza chukuliwa zidi ya vijana wa ccm.
 
Hawa vijana wamekosa mwelekeo. Wameona wamekosa chai wakaamua kuwaangukia mafisadi, wakasuka mpango na kuhakikisha kila mmoja anapata donge nono kwa kugawana aya za tamko. Vivyo hivyo ndivyo wanavyogawana rasilimali za nchi yetu. Ninawalaaaani hao kwani kundi dogo la vijana ambao si wazalendo wa nchi hii. Historia itawahukumu baada ya chama makini kuchukua uongozi imara.
 
walichofanya uvccm ni muendelezo wa mafisadi katika kuhakikisha wanafanikisha malengo yao

kama ni kuwasha moto wa petrol basi kweli wameuwasha kiukweli subiri watanzania watoe hadharani maovu ya maisha binafsi wajue uchungu wake manake hiyo ndiyo itakuwa tiba ya kumfuata dr slaa na matusi kila kukicha.
 
Nafikiri kuna mengine mengi tu UVCCM waliyotamka kwa faida ya wananchi....lakini eehe JF akisemwa vibaya Dr Slaa basi watu hawaoni tena.

May be in this post you will get time to console each other..lakini binafsi sitomuunga mkono Slaa wala Kikwete kama mtu anayeweza kuongoza taifa hili. Ushabiki wa vyama vya siasa sio mtazamo wangu

Mkuu Mapambano, kuna hii post yako siku za nyuma GONGA HAPA ulianza na hukumalizia. Ukairejea leo, utakuwa na maoni yaleyale au mtazamo wako umebadilika?
 
Kutokuchukua hatua mara moja na kukaa kimya binafsi naamini itakuwa ni halali kuamini kuwa uongozi wa taifa wa CCM umetoa baraka zake.
MM, matusi yalianzia Ikulu kisha wakawaelekeza Masheikh -- hawa vijana wanapigia msitari maelekezo toka Ofisi ya Mwenyekiti wao. Kudhani kuwa watakalipiwa ni sawa na kudhani ipo siku Mt. Kilimanjaro utawia Moshi na kuchwea Kigoma.
 
lakini inavyoonekana wametumwa na wakuu wa CCM taifa maana bado wanahangaika kuwahadaa wananchi kuwa DR Slaa hafai lakini watanzania wa leo sio wa kudanganya wanajua ukweli

Karibu tunafikia hatua ya kuanza kama kule Tunisia,WanaJF tukianza hamna kurudi nyuma mpaka kieleweke
 
Mbona kila siku naona matusi humu jf dhidi ya jk? unataka mumtusi mara ngapi?

Nyerere alisema wakti ule anawkemea akina Malechela: Chezea vitu vingine lakini usichezee taasisi ya Urais.Lakini kila mara naona matusi dhid ya jk sas leo MM unataka kutwambia nini?
 
Marehemu Korimba (RIP) alishaona mbali na kusema kwamba CCM imeshapoteza dira. Viongozi wakuu wa chama - JK na Makamba wameshindwa kabisa (kwa mara nyingine tena..) kuweka mambo sawa

Hata kama CCM (T) itashindwa kuwakemea hawa ''vijana'', ninategemea sasa Jumuia ya Wazazi ya CCM sasa itabeba majukumu yake na kuwakemea hawa watoto wao.
 
Maana naamini walichofanya UVCCM kimewapa watu wengine haki ya kuwatukana na kuwasema viongozi wa taifa wa CCM katika masuala yao binafsi. That will be a tragedy.
Hao CCM watukanwe mara ngapi? Sometime watu mnaposti vituko humu ndani.. Nakumbuka wewe binafsi ulishakuja na tusi la dada mwenye gauni jekundu... umeshahau mara hii?
 
Mimi nadhani UVCCM inatumiwa na walewale ndani ya CCM (wanamtandao/mafisadi/washkaji).

Wanataka suala la Richmond/Dowans lirejee Bungeni ili wamtumie Spika wao Makinda ili litoe matamko ya kujaribu kumsafisha Lowassa kama moja ya mkakati wa kugombea urais 2015. Hapa UVCCM wametumiwa na Lowassa. Shame on them!

Walidhani kuwapa uwaziri Sitta na Mwakyembe ndio kutafanya wanyamaze na kusema "mfalme umevaa nguo nzuri sana" hata kama yupo uch! Wakachemsha.

Kauli dhidi ya Dr Slaa zinaonyesha jinsi CCM walivyolewa madaraka na wanavyodharau watanzania wengine.
 
Yeyote anaye sahbikia mzinzi analiwa t***.
Slaa ni mzinzi aliyejitangaza hadharani.
Heko vijana tamko lenu limechelewa sana, natamani muitishe maanadamano nchi nzima ili cdm waone kuwa pps power haiko kwao

Na wewe huwa huna cha kuandika zaidi ya pumba!
 
Nafikiri wametoa tamko la namna hii ili kuleta msisimko mpya kwenye jamii.na hasa vyomba vya habari unaoweza kuketa diversion from suala la Dowans ambalo ndo limeshikiliwa na kila kitu.Kwa bahati mbaya viongozi wa CCM pia wana mambo mengi sana binafsi ya ajabu...nafikiri watu wakianza kuwahukumj kwa mambo yao binafsi hali itakuwa mbaya sana!
 
kaka mwanakijiji hawa vijana hawana tofauti na baba zao......wametumwa hawa maana wanaishi na baba zao huko...halafu leo wanakuja namatamkokwa wahariri!!!!

lengol ao ilikuwa ni kumtusi rais wa watu wa Tanzania ili mpuuzi wao wanayemwita rais wa jamhuri ya muungano tanzania aendelee kupeta......hakuna kitu pale......msubirini mropokaji wao aje na kauli piajeuri ya chama
 
Yeyote anaye sahbikia mzinzi analiwa t***.
Slaa ni mzinzi aliyejitangaza hadharani.
Heko vijana tamko lenu limechelewa sana, natamani muitishe maanadamano nchi nzima ili cdm waone kuwa pps power haiko kwao

kati ya wapumbavu humu jf wewe nambari wani......
 
Kuna ile picha ya Zeutamu, yule kijana wa Lusinde inabidi kwenda kumuona atowe kopy.

Watu wanachemka, kuna tofauti ya matusi wakati wa kampeni na baada.

Watu wanachemka, kuna tofauti watu kutoa matusi kwenye mtandao (hawajulikani/watu wa kawaida) na watu wanaojulikana kuwakilisha Chama kikubwa nchini wanapotowa matusi. Ni vitu viwili tofauto kabisa.

Leo Umoja wa vijana Chadema wakitoka na ile picha ya Zeutamu, itabidi na wao TUWALAANI.

Ila kama mchezo ni huu, basi itabidi "mwaga mboga, na mie namwaga ugali." Shigongo atatajirika sana.

Hivi ni kweli Makamba ALIBAKA huko Kigoma (just asking.)
 
Mbona kila siku naona matusi humu jf dhidi ya jk? unataka mumtusi mara ngapi?

Nyerere alisema wakti ule anawkemea akina Malechela: Chezea vitu vingine lakini usichezee taasisi ya Urais.Lakini kila mara naona matusi dhid ya jk sas leo MM unataka kutwambia nini?

Please don't insult your dignity like that again. Thax
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom