CCM tafakarini huu ujumbe wa Lema

Hata CHADEMA mwapaswa kuyatafakari hayo maneno kwani na nyie wala hamna tofauti kubwa na CCM.

Huenda hata mkawa mko hovyo zaidi ya CCM nyie.

Ni vile tu bado hamjapata mamlaka kamili ya kutuonyesha makucha yenu.
subiri kwanza wapate mamlaka ndo uwahukumu
 
Leo kama wewe uko salama kwa vile tatizo halikuhusu wewe ila kesho na wewe itakuwa inakuhusu.... Nimejalibu kuona hivo katika Ujumbe huo wa lema kwamba ccm na nyie mjiandae siku yaja!!
 
Kama ni "huenda", kumbe "huenda" Chadema wakawa wazuri zaidi ya CCM. Andishi la Lema ukiacha "headline" yake haliwahusu CCM linahusu nchi...
 
Utajuaje kwamba wanajimaliza bila kutoa "ushauri" wa kinafiki! Nimeshasikia CCM pia wakiwapa CHADEMA na CUF "ushauri". Hata Democrats wanawapa "ushauri" republicans na kinyume chake!
 
Mbona wewe unawashangaa wakati Ni maadui zako. Mi siwezi kumshangaa adui yangu nakuwa nae Makini
 
Umeongea MKUU...Me naona Hawa wanaweza binafsisha nchi kabisa.Ptuuuh

We we na Nyani Ngabu inabidi mufahamu kunatofauti kubwa kati ya "huenda" " wanaweza" na "keshatendana na kukubuhu" . CCM ni bonafide majambazi, wezi, wadini, wakabila, wafitini hata tungempa nchi mtikila alivyokua hai ni mabadiliko yanstahili kujaribu
 

Lema hajataja Chama chochote
 
It's easy to say 'very low for you' [should be very 'low of you'] than show how is it low.
Kama Wamarekani wana kautaratibu japo sio rasmi wa kubadili sasa huoni kama hata kama wote ni binadamu au waTZ ni veema kubadilishana badala ya kusema wote ni sawa? kwa uelewa wako CCM ni sawa na ACT kiitikadi? Hapo sijazungumzia matendo. Kwani vyama vingi vilianzishawa 1961 or 1977 au 1992? Kwani rasmimali iliokuwa nazo CCM zinazo chama kingine? kwani Chadema au CUF au CHAUSTA walishakuwa madarakani?
nini kimekupa moral authority kuwasilisha?
 
Is that all you have to say? You seem scared to express yourself in more concrete terms. I expected more from a politician of your calibre.
He quoted somebody. Don't you see? The message is very clear for those who have brains.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…