CCM siyo mama yangu-Maige!!!!!

ana kampuni ya transport & logistics inaingiza USD 2O,000 net profit kwa mwezi! Hawa mawaziri waongo sana. Mtu ana malori zaidi ya kumi hapati kiwango hicho eti yeye ana lori mbili anadai he earns that amount! Oh my god!
Huyu ndio TRA walitakiwa wambane sana kuona katika hiyo 20K huwa anachangia dola ngapi
 
Amekutuma umsafishie JF too late nenda kamsafishie kizimbani kwi! Kwi! Kwi! Teh! Teh!!!!!!!!!!!
 
CCM ni mama yao Malima Mahanga Nagu Kigoda, Kombani, Chikawe Lukuvi simba na mafisadi wengine wengi waliorejeshwa.
 
kama david mataka alishtakiwa mahakamani kwa kutoongoza vyema shirika la ndege,na hawa mabwana washtakiwe kwa kuliingizia hasara taifa.:A S-baby:

Kwani kesi ya Mataka badi ipo?
Si kiinimacho tu kama wakina Yona na Basil Mramba???
 
Maige aburuzwe mahakamani atueleze wananchi alikopata hizo mali lukuki alizopata. Asipoburuzwa wakati huu, itakuwa ni kipolo. Makamanda wakichukua nchi mnamo 2012 lazima kieleweke.

Sio yeye peke yake, the list is endlesss

1) Masha
2) Maige
3) Mzee Megawatz
4)...
 
ana kampuni ya transport & logistics inaingiza USD 2O,000 net profit kwa mwezi! Hawa mawaziri waongo sana. Mtu ana malori zaidi ya kumi hapati kiwango hicho eti yeye ana lori mbili anadai he earns that amount! Oh my god!

Hebu wamfuatilie waone kama analipa kodi!
You will be shocked.
 

Ypu can not be serious.
Na swala la kusafirisha wanyama kwenda nje ya nchi ilikuwaje?
Nako huko alitolewa kafara na nani?
Kama yeye ni kijana makini, ana impact gani kwenye wizara?
Mbona Magufuri amepigwa zengwe kila siku na hawajamtoa?
 
Huyu Jamaa tuna hasira nae sana nyumba na malori lazima tuyachukue,arudishe twiga,tembo,vifaru wote aliouza!

mkuu hao twiga na wanyama wengine hawawezi kuondoka bila ruhusa ya mwenye nchi. Hapo kia kuna security wangapi ukiachilia polisi wa kawaida. Ndege ya jeshi haiwezi ingia bila taarifa kwa amiri jeshi mkuu. Mnamuonea tu mdogo wangu.
 
Tehe tehe, wasukuma wametia fora kwenye utawala wa JK and Mkapa

1) Vijisenti
2) Bosi wa PCB
3) Bwana Megawati
4) Bwana Twiga.....

Naona hata JK kawasitukia watani zake Wasukuma, safari hii kawapa Waziri mmoja kamili na manaibu wawili, yaani Geita Waziri mmoja (Magufuli), Mwanza naibu mmoja (Kitwanga), Shinyanga Naibu Mmoja (Masele), Simiyu hakuna, ; wakati mikoa mingine kawapa Mawaziri kamili wawili au watatu mfano Kagera (Kabaka, Tizeba, Tibaijuka). Wasukuma mkipewa madaraka punguzeni kabisa udokezi wa waziwazi na muwe serious na kazi, na wale wa kiume kufukuzia wasichana muache!!! Kudadeki!!!
 
Ametoa kauli hiyo akiwa kaunta ya polisi au wapi? He deserve time in a cell

wabongo jamani, mkimpeleka Maige mnatakiwa mtangulize JK kwanza. Muwajibikaji namba 1 ni mwenye nji kwa maana ya JK. Kama jk angekuwa serious asingemuacha Malima kwenye u NW. Kwa hiyo mtalaumu watu na wakati mnajua tatizo liko wapi jamani. Kama mwasamehe basi wasameheni wote. Wote tunakumbuka RICHMOND ilikuwaje na later LOWASA akauanika ukweli ulokuwa hauko wazi kuwa alimshauri mkuu wafukuzwe nae akagoma. Kazi kweli aisee. Nikiwaona kina Hosea machozi huwa yananitoka.
 
mkuu hao twiga na wanyama wengine hawawezi kuondoka bila ruhusa ya mwenye nchi. Hapo kia kuna security wangapi ukiachilia polisi wa kawaida. Ndege ya jeshi haiwezi ingia bila taarifa kwa amiri jeshi mkuu. Mnamuonea tu mdogo wangu.

Kamba ilikatikia shongoni kwake.
 

Mkuu ndio siasa hizo :kafara na miskule ni kawaidia kabisa.
Ukipata unapata na ukitoswa, unatoiswa kabisa.
 
Kama ni fitina basi ni sawa kabisa, hayo ndiyo maisha sahihi ya ccm, piga fitina ili upate ulaji. Asibwabwaje akaze buti safari inakaribia mwisho, ila CDM atakuta safina imefungwa mlango na funguo zina mwenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…