Kama kweli dogo amesema hivyo, ameonyesha ni jinsi gani sio mature politically.
Ni sawa na kusema Kama ni Mbwai ni mbwai au Sizitaki mbichi hizi.
Kama katolewa kafara au nini, hakuna la ajabu, ndio mambo ya siasa (hata EL anadai ametolewa kafara).
Dogo anatakiwa kutuliza mzika na kutoongea hovyo hovyo, while calculating his next move.
bado kuna nafasi nyingi za watu kama yeye wa kupunguziwa majonzi (u RC, ubalozi) na kwingine.
Haoni mfano kwa akina Tyson, wametemwa mara ngapi na leo hii bado ni mawaziri?????