nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,929
Mimi napata taabu sana jinsi nchi yetu inavyoendeswa, na matamko ya wanaccm na vyombo vya dola.
Najiuliza wao ndiyo wapangaji na watejekezaji wa haya matukio?
Maana kila tukio utawasikia tunatoa tahadhari, tukio hili lisichukuliwe kisiasa au mwanasiasa kujitafutia umaarufu.
Alipopotea Ben, Azory na wengine, matamko ya hao watu ni lisichukuliwe kisiasa.
Anapokufa mtu au likitokea tukio kibinaadam siyo la kawaida, lazima maneno yatakuwa mengi yanayotofautiana, kila mtu na mtazamo wake.
Serikali au chombo chochote hakipasi kutoa kauli tata na za vitisho kama amabavyo zinatolewa.
Kinachotakiwa hapo ni maneno ya faraja na kutuliza.
Polisi badala ya kufanya uchunguzi ili kuwabaini waharifu nayo ni matamko ya vitisho.
JE HUWA WANAJUA TUKIO LILIVYOPANGWA NA KUTEKEKEZWA?
Bunge nalo ni chombo cha ajabu sana awamu hii. Kimejiondolea heshima iliyijengwa na mabunge yaliyopita
Badala ya kujadiri mambo ya maana wamechukua muda mwingi kumponda mbowe , kujadiri tukio na kuhitimisha na jinsi tukio lilivyotokea.
Polisi ni ya ccm, mwisho wa uchunguzi polisi watatoa majibu tofauti na kichofikiwa na wabunge wa ccm?
BUNGE LINAJUA UPANGWAJI WA MATUKIO NA UTEKELEZAJI WAKE?
Mambo haya yanatia shaka na yan avunja imani kwa wananchi ambao siyo ccm.
Wanajiona ni wakimbizi ktk nchi yao.
Hali hii ccm na vyombo vya dola, wanapandikiza chuki miongoni mwa watanzania.
Mwisho wa siku tutakuja chinjana humu.
MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA.
Karibuni