CCM Sasa Inavuna Ilichopanda

CCM Sasa Inavuna Ilichopanda

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,183
CCM inavuna ilichokipanda na itaendelea kuvuna maana walichotufanyia waTZ hakisahauliki:

chuki walizopandikiza kwa madaktari (dr. uli),

chuki walizopandikiza kwa waandishi wa habari (daudi mwangosi na kibanda),

chuki walizopandikiza kwa waalimu (kumbuka matokeo ya form four),

chuki walizopandikiza kwa milipuko ya mabomu,

chuki walizopandikiza kwa waTZ kwa kukaa miaka 50 madarakani bila kufanya cha maana,

chuki walizopandikiza kwa wanyama wa mbugani kwa kushindwa kuyawajibisha maharamia wanaoiba meno ya tembo,

chuki walizopandikiza kwa vijana kwa kushindwa kuzalisha ajira na matokeo yake vijana wanaishia kujiingiza mkenge wa kula na kusafirisha unga na kushinda vijiweni.

hakika CCM haitapona.

naenda zangu Lumumba kuchukua buku 7 kwa Nape.
 
Bila ya kusahau mauaji ya january 27 ......kwa kweli haitosahaulika.....na ndio maana huwa wanapindua kila siku
 
Kwa hiyo umekaa ukatafakari ukaona hiki cha maana sana kwako.

kwa nini vijana wengi wa bavicha upeo wenu wa kufikili mdogo sana make unajitekenya mwenyewe na kucheka mwenywe.
 
Hio namba moja inanifanya niweke CCM namba moja kati ya vitu navyo chukia KABISA...
 
ccm inavuna ilichokipanda na itaendelea kuvuna maana walichotufanyia waTZ hakisahauliki:

chuki walizopandikiza kwa madaktari (dr. uli),

chuki walizopandikiza kwa waandishi wa habari (daudi mwangosi na kibanda),

chuki walizopandikiza kwa waalimu (kumbuka matokeo ya form four),

chuki walizopandikiza kwa milipuko ya mabomu,

chuki walizopandikiza kwa waTZ kwa kukaa miaka 50 madarakani bila kufanya cha maana,

chuki walizopandikiza kwa wanyama wa mbugani kwa kushindwa kuyawajibisha maharamia wanaoiba meno ya tembo,

chuki walizopandikiza kwa vijana kwa kushindwa kuzalisha ajira na matokeo yake vijana wanaishia kujiingiza mkenge wa kula na kusafirisha unga na kushinda vijiweni.

hakika CCM haitapona.

naenda zangu Lumumba kuchukua buku 7 kwa Nape.

Bila kusahau ufisadi wa kutisha usiochukuliwa hatua. kuanzia na Meremeta, Epa, Deep green, Kagoda Agriculture na mikataba mibovu na ya siri kubwa ya madini n.k. Nchi imekwisha na tumedhihaki zawadi ya kutumia rasilimali tulizopewa na Mwenyezi Mungu zituletee maendeleo. Mwisho wa uovu huu wa kishetani wa kuwaona binadamu wengine kuwa hawana haki ktk ardhi ya nchi hii uko mikononi mwa wananchi wenyewe. Baada ya kufanywa mazuzu kwa muda mrefu.
 
Ccm ni majangili wakiongozwa na k/mkuu...knn,mafisad wakiongozwa na fastjet,magaidi wakiongozwa na mw.Nchemba,wachochezi wakiongozwa na wapigeni..tu!! Waropokaji wakiongozwa na Nepi ,wanadharau wakiongozwa na Tyson. Walichowaibia watz sas yatosha.
 
Kwa uzi huu buku7 hupewi , sema una hoja nzuri sana , bali sisi wananchi tumeamua kwamba ' liwalo na liwe '
 
chama nimependa kwa kuwa unaelewa,
2015 bila shaka tutakuwa tu wote
si unajua ile ya bendera kufuata upepo.

Mamndenyi
Nimekusoma matokeo ya Arusha mjini sio kielelezo cha maamuzi watakayoyatoa watanzania 2015! Andaa maumivu makali!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo umekaa ukatafakari ukaona hiki cha maana sana kwako.

kwa nini vijana wengi wa bavicha upeo wenu wa kufikili mdogo sana make unajitekenya mwenyewe na kucheka mwenywe.

Kwa nini unadhani upeo wao wa kufikiri ni mdogo? Ni lipi kati ya hayo yaliyotajwa ni la uongo? Jifunze kupinga hoja kwa hoja.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
ccm inavuna ilichokipanda na itaendelea kuvuna maana walichotufanyia waTZ hakisahauliki:

chuki walizopandikiza kwa madaktari (dr. uli),

chuki walizopandikiza kwa waandishi wa habari (daudi mwangosi na kibanda),

chuki walizopandikiza kwa waalimu (kumbuka matokeo ya form four),

chuki walizopandikiza kwa milipuko ya mabomu,

chuki walizopandikiza kwa waTZ kwa kukaa miaka 50 madarakani bila kufanya cha maana,

chuki walizopandikiza kwa wanyama wa mbugani kwa kushindwa kuyawajibisha maharamia wanaoiba meno ya tembo,

chuki walizopandikiza kwa vijana kwa kushindwa kuzalisha ajira na matokeo yake vijana wanaishia kujiingiza mkenge wa kula na kusafirisha unga na kushinda vijiweni.

hakika CCM haitapona.

naenda zangu Lumumba kuchukua buku 7 kwa Nape.

Na hili na kuwapuuza watu wa mikoa ya kusini katika suala la Gas umelisahau,Buku saba pls
 
Mamndenyi
Nimekusoma matokeo ya Arusha mjini sio kielelezo cha maamuzi watakayoyatoa watanzania 2015! Andaa maumivu makali!!

siku hizi polisi wakihujumu raia chuki zinaelekezwa si kwa Jeshi la Polisi, bali kwa CCM. ipo siku mtaacha kuwatumia polisi kudhulmu raia.
 
chama nimependa kwa kuwa unaelewa,
2015 bila shaka tutakuwa tu wote
si unajua ile ya bendera kufuata upepo.
Mamndenyi
Nashindwa hata kukupa hongera sioni ulichoshinda Arusha; siku ukichukua udiwani Chimwaga hapo nitasema umeshinda kwa kishindo; Arusha mjini sio ndio ngome yetu? au mna pengine mnapotegemea?
 
Last edited by a moderator:
ccm inavuna ilichokipanda na itaendelea kuvuna maana walichotufanyia waTZ hakisahauliki:

chuki walizopandikiza kwa madaktari (dr. uli),

chuki walizopandikiza kwa waandishi wa habari (daudi mwangosi na kibanda),

chuki walizopandikiza kwa waalimu (kumbuka matokeo ya form four),

chuki walizopandikiza kwa milipuko ya mabomu,

chuki walizopandikiza kwa waTZ kwa kukaa miaka 50 madarakani bila kufanya cha maana,

chuki walizopandikiza kwa wanyama wa mbugani kwa kushindwa kuyawajibisha maharamia wanaoiba meno ya tembo,

chuki walizopandikiza kwa vijana kwa kushindwa kuzalisha ajira na matokeo yake vijana wanaishia kujiingiza mkenge wa kula na kusafirisha unga na kushinda vijiweni.

hakika CCM haitapona.

naenda zangu Lumumba kuchukua buku 7 kwa Nape.

ccm ,ccm hapana huna jipya ccm..umetunyonya vya kutosha...sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
ccm,ccm mbona Mwl alikuacha mwema na kila mtanzania akakufurahia?..sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
ccm,ccm umekuwa chama cha biashara ,tena zile haramau,ukaacha kuhusudu haki..sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
ccm,walokufa ni wengi tena mikononi mwako,wale waliokukosoa uliwaona wasaliti..sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
ccm,tumekuchoka kwa zako siasa chafu,maovu wayapanga tena kwa waadilifu..sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
ccm ungekufa leo,wala nisingelia,utajiri wa tz waugawa kwa wachache,sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
ccm,ccm busara umekosa,ukaitupa sheria,dola waitumia bila hata ueledi,sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
ccm,ccm,ccm kejeli wazidisha hata kwenye mambo ya msingi,elimu na afya vyote vyadidimia tena kwa kasi. Sababu ya anguko hili ni wewe ccm.

''ccm ,ccm,ccm sitamani kukusikia.''
 
chama kwanini kubaniana jamani
Lakini kwa kuwa tupo kwenye ngalawa moja
na lengo ni kufika salama usijali.

Hakuna maana yoyote ya kutiana hasira
twende mdogo mdogo tu mwisho tutafika salama wote kwa pamoja.

Mamndenyi
Nashindwa hata kukupa hongera sioni ulichoshinda Arusha; siku ukichukua udiwani Chimwaga hapo nitasema umeshinda kwa kishindo; Arusha mjini sio ndio ngome yetu? au mna pengine mnapotegemea?
 
Last edited by a moderator:
chama kwanini kubaniana jamani
Lakini kwa kuwa tupo kwenye ngalawa moja
na lengo ni kufika salama usijali.

Hakuna maana yoyote ya kutiana hasira
twende mdogo mdogo tu mwisho tutafika salama wote kwa pamoja.
Mamndenyi
Nyie wetu tu! tupate hasira na nyie? Hilo bado wala halitakuwa siasa tumejifunza siku nyingi ingekuwa busara kama mngejifunza kutoka kwa wakongwe! sisi tupo baridi kutekeleza ilani zetu
 
Last edited by a moderator:
.....kaka polepole utaivunja hiyo Lap Top....

Njaa hiyo ukichanganya na hasira za maisha lazima utapike sumu; kamanada Ng'wanangwa pata chai kidogo angalau uchome mchango moto bado mapema sana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom