CCM Sasa Inavuna Ilichopanda

CCM Sasa Inavuna Ilichopanda

ccm inavuna ilichokipanda na itaendelea kuvuna maana walichotufanyia waTZ hakisahauliki:

chuki walizopandikiza kwa madaktari (dr. uli),

chuki walizopandikiza kwa waandishi wa habari (daudi mwangosi na kibanda),

chuki walizopandikiza kwa waalimu (kumbuka matokeo ya form four),

chuki walizopandikiza kwa milipuko ya mabomu,

chuki walizopandikiza kwa waTZ kwa kukaa miaka 50 madarakani bila kufanya cha maana,

chuki walizopandikiza kwa wanyama wa mbugani kwa kushindwa kuyawajibisha maharamia wanaoiba meno ya tembo,

chuki walizopandikiza kwa vijana kwa kushindwa kuzalisha ajira na matokeo yake vijana wanaishia kujiingiza mkenge wa kula na kusafirisha unga na kushinda vijiweni.

hakika CCM haitapona.

naenda zangu Lumumba kuchukua buku 7 kwa Nape.

umesahau na:-

chuki kwa vijana kwa kukataa ku update daftari la wapiga kura ili wao wasipige kura.

chuki kwa wapiga kura kwa kuwabadilishia ushindi ya viongozi waliowapigia kura.

chuki kwa wafanyakazi kwa mfumo mbovu wa mapato ya serikali hivyo kuwapa zigo la kutoa kodi za ajabu.
 
chama
ilani nyingi hazitekelezeki, hivi hamjui kuwa watendaji wenu nao wanachangia sana kwenye kukiua chama hivi unajua pia kuwa tatizo lenu mmebebana mno, yaani kuanzia mjomba dada shangazi lazima wale mema kupitia mgongo wenu,

Hata hivyo siilaumu nchi yangu hapa iliponifikisha siyo pabaya.

Na wakati wa mapinduzi ukifika msishangae, si unajua ile ya kupokezana vijiti au haukukimbia zile mbio shule ya msingi, mwenzio nilikimbia.

Mamndenyi
Nyie wetu tu! tupate hasira na nyie? Hilo bado wala halitakuwa siasa tumejifunza siku nyingi ingekuwa busara kama mngejifunza kutoka kwa wakongwe! sisi tupo baridi kutekeleza ilani zetu
 
Last edited by a moderator:
ccm inavuna ilichokipanda na itaendelea kuvuna maana walichotufanyia waTZ hakisahauliki:

chuki walizopandikiza kwa madaktari (dr. uli),

chuki walizopandikiza kwa waandishi wa habari (daudi mwangosi na kibanda),

chuki walizopandikiza kwa waalimu (kumbuka matokeo ya form four),

chuki walizopandikiza kwa milipuko ya mabomu,

chuki walizopandikiza kwa waTZ kwa kukaa miaka 50 madarakani bila kufanya cha maana,

chuki walizopandikiza kwa wanyama wa mbugani kwa kushindwa kuyawajibisha maharamia wanaoiba meno ya tembo,

chuki walizopandikiza kwa vijana kwa kushindwa kuzalisha ajira na matokeo yake vijana wanaishia kujiingiza mkenge wa kula na kusafirisha unga na kushinda vijiweni.

hakika CCM haitapona.

naenda zangu Lumumba kuchukua buku 7 kwa Nape.

Umewasiliba hawawezi kukulipa leo.
 
chama
ilani nyingi hazitekelezeki, hivi hamjui kuwa watendaji wenu nao wanachangia sana kwenye kukiua chama hivi unajua pia kuwa tatizo lenu mmebebana mno, yaani kuanzia mjomba dada shangazi lazima wale mema kupitia mgongo wenu,

Hata hivyo siilaumu nchi yangu hapa iliponifikisha siyo pabaya.

Na wakati wa mapinduzi ukifika msishangae, si unajua ile ya kupokezana vijiti au haukukimbia zile mbio shule ya msingi, mwenzio nilikimbia.
Mamndenyi
Hakuna kitu kibaya kwa mwanadamu kama kujitia upofu usiozaliwa nao; yapo mengi sana mazuri yanafanywa na serikali ya CCM yapo machache bado hatujayatekeleza; mambo mengi yanategemea uchumi wa dunia unavyokwenda kwa ujumla Tanzania hatupo pabaya; hivi unataka kusema chama kilichoshindwa kujenga ofisi hata ya vyumba vitatu mwaka wa 20 mnapanga vichochoroni viongozi wako wameishia kujijengea mahekalu kweli mtaweza kuijenga nchi? si ajabu tutasikia slaa amenunua kisiwa Pacific cha kujirusha yeye Josephine ila tu nakuhakikishia uraisi mtausikia kama kuna raisi atatokea Chadema sio hiki kituko mlichonacho karibu kwenye timu ya ushindi
cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo umekaa ukatafakari ukaona hiki cha maana sana kwako.

kwa nini vijana wengi wa bavicha upeo wenu wa kufikili mdogo sana make unajitekenya mwenyewe na kucheka mwenywe.

Simiyu huwezi kukinzana na maji,utapelekwa kaka m4c ni maji ya bahari kaa kando utabebwa bureeeeeee! People'ssssssssssssssss nakozi
 
chama huku kumpa Ritz copy ni uchonganishi, sipendi kabisa nikosane tena na Ritz (Heshima kwako sana Ritz).

Siasa zisitufanye tukashindwa hata kuombana maji huku mtaani, chama sina tatizo na jina la chama, nina tatizo na maendeleo ya nchi yangu na watu wake only.

Mamndenyi
Hakuna kitu kibaya kwa mwanadamu kama kujitia upofu usiozaliwa nao; yapo mengi sana mazuri yanafanywa na serikali ya CCM yapo machache bado hatujayatekeleza; mambo mengi yanategemea uchumi wa dunia unavyokwenda kwa ujumla Tanzania hatupo pabaya; hivi unataka kusema chama kilichoshindwa kujenga ofisi hata ya vyumba vitatu mwaka wa 20 mnapanga vichochoroni viongozi wako wameishia kujijengea mahekalu kweli mtaweza kuijenga nchi? si ajabu tutasikia slaa amenunua kisiwa Pacific cha kujirusha yeye Josephine ila tu nakuhakikishia uraisi mtausikia kama kuna raisi atatokea Chadema sio hiki kituko mlichonacho karibu kwenye timu ya ushindi
cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
Nimefurahi kukuona Mamndenyi. Nime-miss sana mada zetu za kiroho, si unajua dunia hii tunapita na nyumbani kwetu ni mbinguni? (Wafilipi 3 : 20). Waache hao waendelee kusasambuana, sisi tunaendelea kujiandaa kumlaki Bwana Yesu atakapotokea mara ya pili mawinguni.
 
[TD="class: xl67, width: 54"]Ufunuo wa Yohana[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]1[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]7[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737"]Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina. [/TD]

Nimefurahi kukuona Mamndenyi. Nime-miss sana mada zetu za kiroho, si unajua dunia hii tunapita na nyumbani kwetu ni mbinguni? (Wafilipi 3 : 20). Waache hao waendelee kusasambuana, sisi tunaendelea kujiandaa kumlaki Bwana Yesu atakapotokea mara ya pili mawinguni.
 
chama huku kumpa Ritz copy ni uchonganishi, sipendi kabisa nikosane tena na Ritz (Heshima kwako sana Ritz).

Siasa zisitufanye tukashindwa hata kuombana maji huku mtaani, chama sina tatizo na jina la chama, nina tatizo na maendeleo ya nchi yangu na watu wake only.
Mamndenyi
CCM hatuna siasa za ugomvi; ni nyie vijana wa Bavicha ndio mliofundishwa kutembea na sumu mifukoni; mkuu Ritz yupo baridi tu; sasa Mamndenyi unaishi sehemu gani ya Tanzania ambayo huoni maendeleo ili tukuonyeshe?
 
Last edited by a moderator:
Nimefurahi kukuona Mamndenyi. Nime-miss sana mada zetu za kiroho, si unajua dunia hii tunapita na nyumbani kwetu ni mbinguni? (Wafilipi 3 : 20). Waache hao waendelee kusasambuana, sisi tunaendelea kujiandaa kumlaki Bwana Yesu atakapotokea mara ya pili mawinguni.
Mamndenyi
Chadema mmgeuka chama cha injili siku hizi?
cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
chama usiseme 'sisi' unajuaje kuwa na mimi siyo mwenzio?
Hii ya kutembea na sumu sitaki kukujibu kwa kuwa jibu unalo mwenyewe.

Mwambie Ritz aangalie baridi ikizidi ataganda.
chama ninakoishi mimi ni kule ambako shule zimekosa wanafunzi wa kidato cha tano na hivyo madarasa kubaki matupu, naona itabidi tufugie huko kuku.

Pia hapa ninapoishi maji bado ni bidhaa adimu.

Pia ninapoishi ni pale ambapo ukienda kujifungua ni lazima uende na gloves, maji ya moto kwenye ndoo na kirago cha kulalia.

Mamndenyi
CCM hatuna siasa za ugomvi; ni nyie vijana wa Bavicha ndio mliofundishwa kutembea na sumu mifukoni; mkuu Ritz yupo baridi tu; sasa Mamndenyi unaishi sehemu gani ya Tanzania ambayo huoni maendeleo ili tukuonyeshe?
 
Last edited by a moderator:
maneno yako yote ni udanganyifu,CCM imefanya na inaendelea kufanya makubwa hapa nchini na ndiyo maana watanzania bado wanaipa dhamana ya kuongoza nchi
 
chama usiseme 'sisi' unajuaje kuwa na mimi siyo mwenzio?
Hii ya kutembea na sumu sitaki kukujibu kwa kuwa jibu unalo mwenyewe.

Mwambie Ritz aangalie baridi ikizidi ataganda.
chama ninakoishi mimi ni kule ambako shule zimekosa wanafunzi wa kidato cha tano na hivyo madarasa kubaki matupu, naona itabidi tufugie huko kuku.

Pia hapa ninapoishi maji bado ni bidhaa adimu.

Pia ninapoishi ni pale ambapo ukienda kujifungua ni lazima uende na gloves, maji ya moto kwenye ndoo na kirago cha kulalia.
Mamndenyi
haaaa haaa basi hapo ulipo pametulia hivyo ulivyopendeza bado unadai umekosa huduma muhimu? Nipe jjina nitafute wadhamini wa kujimba visima na kusaidia glovu za hospitali; inabidi uishukuru sana CCM inakupendesha sana! Ritz mwache awe baridi moto wake hamuuwezi; yule kamanda wenu anayetembea na sumu mifukoni mwambie ajihadhiri asije kuinywa mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:
chuki za kunita Tsh 1000 kwa mwezi ya simcard....
 
chama hapa nilipo nipaseme tena, kwani sipendi kucha na macho yangu jamani?

Hakuna anayetembea na sumu kwetu, kama yupo atakuwa ni yule mwenye matukano ndo anayeweza kufanya hivyo.

Kweli umesema acha tu dogo awe baridi kwani moto wake ni zaidi ya moto wa mkaa wa mawe, looh.

Back
Top Bottom