CCM Sasa Inavuna Ilichopanda

CCM Sasa Inavuna Ilichopanda

CCM inavuna ilichokipanda na itaendelea kuvuna maana walichotufanyia waTZ hakisahauliki:

chuki walizopandikiza kwa madaktari (dr. uli),

chuki walizopandikiza kwa waandishi wa habari (daudi mwangosi na kibanda),

chuki walizopandikiza kwa waalimu (kumbuka matokeo ya form four),

chuki walizopandikiza kwa milipuko ya mabomu,

chuki walizopandikiza kwa waTZ kwa kukaa miaka 50 madarakani bila kufanya cha maana,

chuki walizopandikiza kwa wanyama wa mbugani kwa kushindwa kuyawajibisha maharamia wanaoiba meno ya tembo,

chuki walizopandikiza kwa vijana kwa kushindwa kuzalisha ajira na matokeo yake vijana wanaishia kujiingiza mkenge wa kula na kusafirisha unga na kushinda vijiweni.

hakika CCM haitapona.

naenda zangu Lumumba kuchukua buku 7 kwa Nape.

mkuu nakushukuru kwa thread nzuri yenye mantiki sawia,nakwa hilo nakupongeza.wenye akili zao walisema "what makes an interllectual different from a normal civilian is seing beyond the length of his/her nose.
 
hamchoki na dharau
Mamndenyi

Dharau ipo wapi hapo? Huo ndio ukweli wenyewe usiogope kuwa mkweli eti kwasababu utaudhi watu!

"Msidanganyike; waasherati hawaurithi Ufalme wa Mungu, wala
waabudu sanamu, wala walawiti, wala wazinzi, wala wafiraji, wala
walawiti, wala wevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi". (1
Wakorintho 6:9,10).

Mapadri wasiowaadilifu kabla ya kuingilia wanakwaya walianza na vijana wa kiume nina uhakika umenielewa sina haja kufunguka sana Bavicha wanaweza wakatoa ban lakini huo ndio ukweli wenyewe; hana hata chemebe moja ya utakatifu; ndio maana hadi leo hii anazini na haoni haya wala aibu!
 
Last edited by a moderator:
hapa kwenye redi jichagulie fungu lako chama; pia pokea zawadi yako hii hapa chini:
[TABLE="width: 696"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 134, bgcolor: transparent"]Kumbukumbu la Torati[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]16[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]19[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Usipotoe maamuzi; wala usipendelee uso wa mtu; wala usitwae rushwa; kwa kuwa rushwa hupofusha macho ya wenye akili, na kugeuza daawa ya wenye haki. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Mamndenyi

Dharau ipo wapi hapo? Huo ndio ukweli wenyewe usiogope kuwa mkweli eti kwasababu utaudhi watu!

“Msidanganyike;
waasherati hawaurithi Ufalme wa Mungu, wala
waabudu sanamu, wala
walawiti, wala
wazinzi, wala
wafiraji, wala
walawiti, wala
wevi, wala
watukanaji, wala
wanyang’anyi”. (1
Wakorintho 6:9,10).

Mapadri wasiowaadilifu kabla ya kuingilia wanakwaya walianza na vijana wa kiume nina uhakika umenielewa sina haja kufunguka sana Bavicha wanaweza wakatoa ban lakini huo ndio ukweli wenyewe; hana hata chemebe moja ya utakatifu; ndio maana hadi leo hii anazini na haoni haya wala aibu!


 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom