[TD="class: xl67"]Ufunuo wa Yohana[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]1[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]7[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737"]Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.[/TD]
Atakayemlaki
Bwana Yesu mawinguni ndiye atakayekuwa ameshinda, atarithishwa haya na
Bwana Yesu:
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 132"] Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="width: 42"] 2
[/TD]
[TD="width: 48"] 7b
[/TD]
[TD="width: 409"] Atampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 132"] Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="width: 42"] 2
[/TD]
[TD="width: 48"] 11b
[/TD]
[TD="width: 409"] Hatapatikana na madhara ya mauti ya pili (ziwa la moto) [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 132"] Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="width: 42"] 2
[/TD]
[TD="width: 48"] 17
[/TD]
[TD="width: 409"] Atampa baadhi ya ile mana iliyofichwa, pia atampa jiwe jeupe, na juu ya jiwe hilo limeandikwa jina jipya asilolijua mtu ila yeye aliyelipokea. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 132"] Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="width: 42"] 2
[/TD]
[TD="width: 48"] 26,28
[/TD]
[TD="width: 409"] Atampa mamlaka juu ya mataifa na ile nyota ya asubuhi [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 132"] Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="width: 42"] 3
[/TD]
[TD="width: 48"] 5
[/TD]
[TD="width: 409"] Atamvika taji ya uzima wala jina lake halitafutwa kamwe katika kitabu cha uzima, naye atalikiri jina lake mbele za Baba yake (Mungu), na mbele ya malaika zake. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 132"] Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="width: 42"] 3
[/TD]
[TD="width: 48"] 12
[/TD]
[TD="width: 409"] Atamfanya kuwa nguzo katika hekalu la Mungu wake, wala hatatoka humo tena kabisa, naye ataandika juu yake jina la Mungu wake, na jina la mji wa Mungu wake, huo Yerusalemu mpya, ushukao kutoka mbinguni kwa Mungu wake, na jina lake mwenyewe, lile jipya. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 132"] Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="width: 42"] 3
[/TD]
[TD="width: 48"] 21
[/TD]
[TD="width: 409"] Atampa kuketi pamoja naye katika kiti chake cha enzi, kama yeye alivyoshinda akaketi pamoja na Baba yake katika kiti chake cha enzi. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mji mpya Yerusalemu
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 132"] Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="width: 42"] 21
[/TD]
[TD="width: 48"] 23 - 26
[/TD]
[TD="width: 409"] Na mji ule hauhitaji jua wala mwezi kuuangaza, kwa maana utukufu wa Mungu huutia nuru, na taa yake ni Mwana-Kondoo. Na mataifa watatembea katika nuru yake. Na wafalme wa nchi huleta utukufu wao ndani yake. Na milango yake haitafungwa kamwe mchana; kwa maana humo hamna usiku. Nao wataleta utukufu na heshima ya mataifa ndani yake. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hawa hawataingia huo mji mpya Yerusalemu
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 132"] Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="width: 42"] 21
[/TD]
[TD="width: 48"] 27b
[/TD]
[TD="width: 409"] Chochote kilicho kinyonge, wala yeye afanyae machukizo na uongo. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 132"] Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="width: 42"] 21
[/TD]
[TD="width: 48"] 8
[/TD]
[TD="width: 409"] Waoga, wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 132"] Wagalatia
[/TD]
[TD="width: 42"] 6
[/TD]
[TD="width: 48"] 19 - 21
[/TD]
[TD="width: 409"] Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya: uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]