Michangudoa ndiyo umebaki ccm...! Wanjanja wote toroka uje a.k.a UKAWA.
kuanzia mwenyekiti vijembe..hadi wanachama..yaanii
lini acha uongo wee mwanamke..nimesubiri nikaona kimya nifahNilikucheki ila kimyaaaaa.
Mhhh!
lini acha uongo wee mwanamke..nimesubiri nikaona kimya nifah
Wallah nakuapia! Fungua pm nikutumie screen shot...
Ilikua j/mosi iliyopita. Tena kwa ile # ya tigo.