Nissan murano qr25de cc 2500 fuel consumption problem

Nissan murano qr25de cc 2500 fuel consumption problem

willy ze great

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,084
Reaction score
1,329
Jamani nina nissan murano qr25de cc2500 2006 inakula sana wese iliwasha check engine shida ikawa airflow meter nikabadili ila tatizo bado liko palepale.
Ukiwasha gari ina nguvu vizuri tu haina miss yoyote inachanganya haraka shida ni wese tu ninapata 2.5 km/l mpaka 3.9km/l
 
Attachments

  • 20260724_104151.jpg
    20260724_104151.jpg
    1.1 MB · Views: 3
Jamani nina nissan murano qr25de cc2500 2006 inakula sana wese iliwasha check engine shida ikawa airflow meter nikabadili ila tatizo bado liko palepale.
Ukiwasha gari ina nguvu vizuri tu haina miss yoyote inachanganya haraka shida ni wese tu ninapata 2.5 km/l mpaka 3.9km/l
Duuh alooo hii imezidi kubugia wese
 
Mkuu kama upo kwenye ndoto za kumiliki gari IPO siku MUNGU atajaalia Tu utapata .
Huyu jamaa anajua Sana magari Kwa undani Sana sidhani kama kuna fundi hapa DAR anaweza kumfikia
Hakika anayaelewa na kuyaelezea kwa undani na vizuri sana,, namimi na hobby zangu za kuchek review za magari naenjoy sana kumsikiliza.inshallah namimi siku nikijaaliwa nitashare experience ya ndinga hapa kama mnavofanya waungwana,.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom