CCM out! 58 years in power without positive change

Nilikua ninaongea na swahiba yangu hapa sasa hivi. Nyerere alisema ili tuendelee tuna jirani, watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Ardhi tunayo, tulichokosa ni siasa safi na uongozi bora.
 
There is also something changes after three Ploblems Identified By Mwalimu Nyerere,Disease ignorance anad povety there is ana emergency of new Ploblem which is CCM. chama cha mapindi.

CCM is common enemy of our county.
 
Uchaguzi huu watu wamechoka kusikia habari za maendereo ya Magufuli huku wakiishi kwa hofu, watu wanataka kuona upinzani utafanya nini, hasa katiba mpya na utawala bora unaohaidiwa na Lissu.
 
Have a shame hakuna maendeleo kwa 58 yrs SIO KWELI
miaka mitano ya Magufuli tunaishi kwa hofu, maendereo ya aina yoyote hayana maana, nyomi za lissu ni kwa sababu watu wamepata natumaini ya kuwa huru tena na kuishi kwenye nchi ya haki.
 
Mwanzo nilijua masihara lakini sasa naona kuna ukweli, kuna baadhi ya viongozi wamejiandaa kukimbia. Kuna wanne wameondoa hela zao zote CRDB na kuzihifadhi nyumbani.
 
Mkuu kujitambua pia ni sehemu ya mafanikio ya Chichiemu kwa elimu mujarab uliyopata.
 
WRONG!
CCM ni hybrid ya TANU na ASP, get your facts right.
TANU siyo CCM.
The founder of TANu and the founder of Sisiemu is the same person Nyerere , As well ccm transformed from Asp and Tanu, means Ccm came from the wombs of TANU In simplest estimation Ccm have ruling power Almost 58 yrs. Under the same people.
 
WRONG AGAIN.

Unajua maana ya Mapinduzi kwenye CCM , jina lilikujaje?

Na je unajua kwamba Mwenyekiti wa kamati ya kuunganisha TANU na ASP alikuwa mzee Thabit Kombo?
 
Mwanzo nilijua masihara lakini sasa naona kuna ukweli, kuna baadhi ya viongozi wamejiandaa kukimbia. Kuna wanne wameondoa hela zao zote CRDB na kuzihifadhi nyumbani.
Oyoooooo kitabu ANGUKO LA FASHISTI nasikia kinachapwa sijui wapi....
 
Back
Top Bottom