CCM nyaya zimegusana

ni mm kaka litarudi soon kwanza baada ya mwamba kukaa
Ni sawa, mkuu wangu 'Stakehigh', vyovyote na itakavyokuwa; 'our common denominator'', ni hii Tanzania yetu sote.
Take a few moments to reflect on that.
 
Uunguze hata vimapango vyao wanavyojifiichaaammo.
 
Nimeandaa madumu kumi ya petroli Nasubiri tu moto ulipuke nikasaidie chama changu kuuzima!
 
Hizi ni excuse zinazotumika na regime apologists. Kama kiongozi ukiona Kuna mambo hukubaliani nayo basi unaachia ngazi
Pili, kwa katiba yetu ni uongo kusema Kuna watu wanaweza kutenda pasipo wewe kiongozi kutaka
 
Umesema mumewe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…