CCM njooni mninunue jamani. Vyuma vimekaza balaa !

Duh funguka zaidi, hawa jamaa wana ela za kutosha kwan kodi zetu kwa sasa hazipangiwi matumizi bungeni tena bali pale lumumba tu.
 
Nimewaza na Mimi hicho kitu.Nikatamani ningekuwa mbunge wa upinzani yaani Leo Leo ningewaita Kama Ni hela kwa kweli yaani ya bure bure tu.
 
Hata mimi humu JF wakitaka kuninunua waje tu nianze kuwatetea ccm walete bilioni moja tu inatosha, kesho naanza kutetea Uozo wote wa ccm, nitajitoa ufahamu wote na kuwa kama zuzv
 
Fanya promo ya utetezi yaani jitoe huo ufahamu kwa posti mbili tatu.
Tetea zile nyufa!
 
Nimewaza na Mimi hicho kitu.Nikatamani ningekuwa mbunge wa upinzani yaani Leo Leo ningewaita Kama Ni hela kwa kweli yaani ya bure bure tu.
Huhitaji kuwa mbunge. Watakiwa kuwa CDM au basi CUF.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom