CCM nilikuunga mkono lakini kwa upuuzi huu sasa basi

Ukiamua kuwa baridi kuwa baridi tu ukiamua kuwa Moto kuwa Moto.

Kumuunga mkono Huyo dikteta na kusema unamchukia anayofanya haimake sense

Of course it makes sense. It's not unusual to have some disagreements on certain issues. In some countries they even form coalition governments when an elections end in stalemate, let alone for individual like me. You need to follow world politics to enhance your knowledge a bit more.
 
Siku chache zilizopita nilitoa maoni yangu kutathmini awamu hii ta tano. Niliandika kuwa pamoja na kuchukizwa na na baadhi ya mambo lakini namuunga mkono Magufuli. Niliandika pia siamini kama Rais anaweza kuyajua mambo yote ya moja kwa moja pale anapoingia madarakani, mambo mengine hujifunza akiwa ofisini. Kwahiyo, nilikuwa tayari kumuunga mkono Magufuli nikiamini kuwa atajifunza kutokana na makosa.

Kwa bahati mbaya nilifanya makosa. Kwanza, nataka kumweleza Magufuli kuwa kwasababu nilikuwa namuunga mkono haina maana nilikuwa nauchukia upinzani. Nathamini mchango wao na naamini kama serikali ikiachiwa ifanye inavyotaka bila kukosolewa itajisahau na kufanya mambo ya hovyo.

Pili, mambo wanayofanyiwa wapinzani hivi karibuni siyafurahii na siwezi kuvumilia upuuzi huu.

Link hapo chini kinaonyesha maoni yangu siku chache zilizopita nikimmunga mkono.

Magufuli nakuunga mkono lakini kuwa makini kwenye kipindi chako cha pili
Ha ha.. umetisha
 
Magufuli Babalao.
 
pole mkuu kwakukwazika.......
ila hutopunguza sana kwenye 98% ya votes.

CCM ni kikundi cha hovyo sana. Ujangili ni wao, Ufisadi ni wao, Uhujumu uchumi ni wao, wizi wa mali za umma, matumizi mabaya ya madaraka, ushirikina na kurogana mchana kweupe, unafiki, uzandiki, ugaidi, mauaji, utekaji, vurugu, nk vyote ni vyao!

Hivi hiki kikundi kinachoitwa CCM kina jema lolote lile, hata moja tu kwa Watanzania kweli? Ifikie wakati Watanzania tuamue kwa kauli moja kuwaondoa hawa Wakoloni Weusi kwa njia yoyote ile. Ikibidi hata kwa kutumia Nguvu ya Umma.
Rubbish, tafuta malimao kabisaaa maana CCM haing'oki leo wala kesho. Hiyo nguvu ya umma ukaifanye na familia yako, na sio watanzania. Long live CCM. Long live JPM.
 
Labda kwa figisu... Ukweli CCM wapo ktk Hali mbaya...
 
Siku chache zilizopita nilitoa maoni yangu kutathmini awamu hii ta tano. Niliandika kuwa pamoja na kuchukizwa na na baadhi ya mambo lakini namuunga mkono Magufuli. Niliandika pia siamini kama Rais anaweza kuyajua mambo yote ya moja kwa moja pale anapoingia madarakani, mambo mengine hujifunza akiwa ofisini. Kwahiyo, nilikuwa tayari kumuunga mkono Magufuli nikiamini kuwa atajifunza kutokana na makosa.

Kwa bahati mbaya nilifanya makosa. Kwanza, nataka kumweleza Magufuli kuwa kwasababu nilikuwa namuunga mkono haina maana nilikuwa nauchukia upinzani. Nathamini mchango wao na naamini kama serikali ikiachiwa ifanye inavyotaka bila kukosolewa itajisahau na kufanya mambo ya hovyo.

Pili, mambo wanayofanyiwa wapinzani hivi karibuni siyafurahii na siwezi kuvumilia upuuzi huu.

Link hapo chini kinaonyesha maoni yangu siku chache zilizopita nikimmunga mkono.

Magufuli nakuunga mkono lakini kuwa makini kwenye kipindi chako cha pili
Mimi nilifanya kila aina ya ushawishi kwa watu wangu wa karibu kuhakikisha wanamchagua Magufuli in 2015.

Ila safari hii baada ya utopolo kuzidi nimeamua kuwashawishi wamchague Rais Mteule Tundu Lissu.
 
Kama unalipenda taifa letu kwa dhati kabisa bila unafiki huwezi muunga mkono magu kamwe, chini ya magu umoja wa taifa letu unakufa, chuki inatamalaki.lissu ni mzalendo wa kweli
Asee nchi hii bado kuna wapuuzi wengi sana ukimuuliza unamuunga mkono kwa lipi la maana alilofanya atakwambia kanunua ndege shenz+&&
 
Rubbish, tafuta malimao kabisaaa maana CCM haing'oki leo wala kesho. Hiyo nguvu ya umma ukaifanye na familia yako, na sio watanzania. Long live CCM. Long live JPM.

Mtaondoka tu muda utakapofika. Utake usitake.
 
CCM walizuia siasa mpaka 2020 Sasa 2020 imefika hawataki Tena. Sijui tuwasaidie Nini.
Kinyume cha sheria na Katiba yetu,siasa ni maisha ya kila Siku.Walizuia kwa mujibu wa sheria isiyokuwepo na hivyo wanatakiwa kuwajibishwa.
 
Ni wajinga wachache tu ambao hawawezi kumuunga mkono JPM,
Magufuli ametupa ujasiri wa kuhoji Namna ya Pesa zetu zilikuwa zinskwenda wapi?
Ni Magufuli pekee aliyetupa kufahamu na kuamini kwamba, ama kweli nchi yetu ilikuwa na mchwa MLA Kodi zetu, Kwa Miradi hii aliyoianzisha na iliyokwisha kamilika, amewafumbua macho Watanzania wengi na sasa ni mwendo wa kuwahoji watawala watakaokuja
 
Matokeo ya uchaguzi ya CCM
2005 - 80%
2010 - 61%
2015 - 58%

2020 - !!?

CCM hawana jipya, Ni kutegemea tume na polisi... Chama kimeshindwa kazi na kimepitwa na wakati...
 
Kwa mwaka huu! Mkuu, hamjipendi, CCM 85% Mimi ni mfugaji, CCM isposhinda njoo uchukue mwana mbuzi kwangu
 
Siku chache zilizopita nilitoa maoni yangu kutathmini awamu hii ta tano. Niliandika kuwa pamoja na kuchukizwa na na baadhi ya mambo lakini namuunga mkono Magufuli. Niliandika pia siamini kama Rais anaweza kuyajua mambo yote ya moja kwa moja pale anapoingia madarakani, mambo mengine hujifunza akiwa ofisini. Kwahiyo, nilikuwa tayari kumuunga mkono Magufuli nikiamini kuwa atajifunza kutokana na makosa.

Kwa bahati mbaya nilifanya makosa. Kwanza, nataka kumweleza Magufuli kuwa kwasababu nilikuwa namuunga mkono haina maana nilikuwa nauchukia upinzani. Nathamini mchango wao na naamini kama serikali ikiachiwa ifanye inavyotaka bila kukosolewa itajisahau na kufanya mambo ya hovyo.

Pili, mambo wanayofanyiwa wapinzani hivi karibuni siyafurahii na siwezi kuvumilia upuuzi huu.

Link hapo chini kinaonyesha maoni yangu siku chache zilizopita nikimmunga mkono.

Magufuli nakuunga mkono lakini kuwa makini kwenye kipindi chako cha pili
Wewe huna athari hata ukiondoka na familia yako yote na ukoo wako wote mkahamia upinzani.CCM haibabaiki.
 
Back
Top Bottom