Niacheni niseme; Kama kweli ACACIA ni wezi basi tujadili

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
KANUNI KTK KUMTAMBUA MWIZI:
Kama kweli ACCACIA ni wezi basi tujadili:
1.ACCACIA ni mwizi...Principal offender.

2. Serikali na viongozi wake imesaini mkataba wa wizi...Accesory before the fact.

3. Serikali na CCM wameendelea kuwalinda, kuwatetea miaka yote wakati wapinzani wanakosoa wizi huo.....Accesory after the Fact.
4. Serikali imekutana na Wezi (Barrick, the holding company of Accacia). Badala ya kuwakamata na kuwafungulia mashtaka kama wezi.....Accesory after the fact.

UFAFANUZI:
1. Principal offender...ni Mtenda kosa (aliyeiba mali husika).
2. Accesory before the fact...ni yule anayehusika kumshawishi mtu mwingine kufanya kosa la jinai. Yaani kama Accacia ni wezi, basi aliyewaita kuja kuiba hapa ndiye Accesory before. Serikali iliwaita kwa jina la ustaarabu la "uwekezaji"...zaidi ikasaini mkataba huo wa wizi ili waibe kwa uhuru.
3. Accesory after the fact....ni mtu anayehusika kumhifadhi, kumtetea mtendaji wa kosa pamoja na mali zake za wizi.

Accessory after the fact anatoa ulinzi, huduma za kijamii, etc.

ADHABU KTK MAKUNDI HAYA KISHERIA
Kwa sheria za jinai hapa nchini pamoja na duniani kote, wote hupewa adhabu moja.

Yaani aliyeshawishi mwingine kuiba, aliyepokea ushauri na kuiba, na aliyemhifadhi na kumlinda mwizi...wote huadhibiwa kwa kosa la wizi. WOTE NI WEZI.

ASILI YA ADHABU HIZI ni BIBLIA na MUNGU mwenyewe na ilianza kwenye BUSTANI YA EDEN ambapo Mungu alimhuku mshaiwishi wa kutenda kosa, na mkosaji wote adhabu moja.

Yaani...
1.EVA (principal offender) waliokula tunda ambalo lilikatazwa kuliwa.
2. NYOKA (accessory before the fact) ambaye alimshawishi Eva kuchuma tunda na kula.
3. ADAM (accessory after the fact) aliyekula tunda baadaye na kutengeneza utetezi dhidi ya Mungu alipoulizwa sababu ya kula tunda.
ADHABU: wote walilaaniwa na Mungu.

MWANZO 3:1-13. BIBLE
 
Sawa sawa
 
Hili suala la ACACIA litakuwa kama lile la BASHITE mwanzo tunaujua ila mwisho wake haukujulikana..
 
Nimesoma mwanzo mpaka mwisho nimeelewa vizuri.
 
Ningeanzisha uzi lakini nikaina nipate lift hapa.
Kwanini Mwanyika alikamatwa?! Aliwakataza ACACIA kulipa au alikuwa anawafundisha sheria?! Kama wana ushahidi kwanini kesi haiishi?!
Kuweka watu kizuizini au mahabusu kunafaida gani kwenye serikali hii?! Kuna kitilya, Seth, Mwanyika, Mbowe, Malinzi na wengine wengi.
Kwanini serikali inafanya haya?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ifuatilie kesi vizuri haihusiki kuwakataza Acacia wasilipe. Amesaidia ukwepaji....
 
Hahaha sasa mkwepaji mbona hayuko jela, na wala mkwepaji hana kesi ya ukwepaji, Ilea aliyesaidia ukwepaji ndiye yuko jela.
Kuhusu kina Mbowe wao waliandamana hawakufyatua risasi, kinachonishangaza alitefyatua hana kesi hata ya kuua bila kukusudia.

Back
Top Bottom