Kwani Laanatullahi Nyerere alifanya kipi kipya ambacho uongozi wa leo hawajakifanya ??CCM bado inamuenzi hayati Julius Nyerere na vizazi vya akina hayati JPM kulinda ustawi wa taifa letu.
Au CCM imegeuka kuwa Chama cha mafisadi na sasa inaendeleza kutafuna mali za umma.
Maana yake nini? Mama Samia amerudisha CCM ile ya Kagoda, Meremeta, Symbion n.k?
My take; CCM inatakiwa iwe ileile ya enzi za Hayati Julius Nyerere.
Samaga konoko bhasambo sana..CCM bado inamuenzi hayati Julius Nyerere na vizazi vya akina hayati JPM kulinda ustawi wa taifa letu.
Au CCM imegeuka kuwa Chama cha mafisadi na sasa inaendeleza kutafuna mali za umma.
Maana yake nini? Mama Samia amerudisha CCM ile ya Kagoda, Meremeta, Symbion n.k?
My take; CCM inatakiwa iwe ileile ya enzi za Hayati Julius Nyerere.
Hapo unawaongelea kina nani sasa?Mlionufaika kipindi cha JPM kaeni Kwa kutulia Tu , aliwafurahsha wengine for the cost of others , jamaa alizima ajira za walimu ambazo kikwete alitenga fungu lake ,jamaa kibabe Tu akazizima, huku akiwaita walimu wa Sanaa ni wasaniii....!! Kundi kama hili sio rahsi kumkumbuka huyu mtu hata mfanyeje, ombeni Tu muwe na mwisho mwema katika kizazi chenu baas...
Nani wa kuisambaratisha? Gaidi? Au mr belgiji?Ila muda unabadilika, naiona kabisa CCM inayoenda kusambaratika.
Hata Chawa wa Chama cha Kimomunisti cha Romania pia walikuwa wakiuliza maswali kama haya.Nani wa kuisambaratisha? Gaidi? Au mr belgiji?
Umetumwa tumewambia CCM sio chama cha kikanda tunarudisha CCM kwa wananchiCCM bado inamuenzi hayati Julius Nyerere na vizazi vya akina hayati JPM kulinda ustawi wa taifa letu.
Au CCM imegeuka kuwa Chama cha mafisadi na sasa inaendeleza kutafuna mali za umma.
Maana yake nini? Mama Samia amerudisha CCM ile ya Kagoda, Meremeta, Symbion n.k?
My take; CCM inatakiwa iwe ileile ya enzi za Hayati Julius Nyerere.
Mbona wewe ni chawa wa gaidi?Hata Chawa wa Chama cha Kimomunisti cha Romania pia walikuwa wakiuliza maswali kama haya.
Wananchi ni wapi? Na kanda ni ipi?Umetumwa tumewambia CCM sio chama cha kikanda tunarudisha CCM kwa wananchi
Asante kwa kuliona hilo nadhani hakuna haja ya ubishi.Ccm itaindolewa madarakani kwa mikakati na sera mbadala
Kinehe ng'wizukuluku mayunga? Uli mmholaWananchi ni wapi? Na kanda ni ipi?