Hahaha post itachinjiwa baharini kaka
Daah huyu bibi kama mie kafumaniwa usiku na chupi mkononi...... sasa hapo CCM ndo wamemsitiri au maana bendera ikidondoka hapo ni shanga tuu.....
Halafu ile namba pale ni rahisi sana kumfahamu huyu bibi.... 974 CNZ. Fasta TRA
Kucha na meno na koleo tena bila ganzi
Mkulu bado nakipenda kifanyio changu
Tuambie habari njema
Time will tell....mimi nimeishia hapo
Aaah hahaha huyu hakidhi vigezo...huyu ni wale wa kupuliza