Tujikumbushe: Sekretarieti ya CCM iliyomkata Lowassa 2015 ilikuwa na Kinana, Dr Mwigullu, Nape, Makamba jr na.....!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,957
141,947
Ama kwa hakika msamaha wa ajabu tuliupataCalvary ukisamehe nawe utasamehewa.

Kile kikosi kazi kilichomshughulikia waziri mkuu mstaafu mzee Lowassa asiweze kutinga hatua ya mtoano kwenye kura za maoni ni kama kimesambaratishwa chote.

Naikumbuka sekretarieti ya CCM wakati ilivyosheheni wakongwe wa propaganda Nape, January, Mwigulu walivomfanyia mtimanyongo Eddo kana kwamba CCM ni urithi wao lakini leo wote wanapumulia mashine.

Mungu na azidi kutusaidia
Jumapili njema

Maendeleo hayana vyao!
 
Mabaya siku zote yatakutafuna. Ukichakachua pia na wewe utachakachuliwa. Tujifunze kutenda mema maana yatatufuata lakini tukitenda mabaya tukumbuke tutavuna mabaya. May be our brothers wanavuna walichopanda. Tumwachie Mungu maana yeye anajua yote.
 
Back
Top Bottom