DOGofGOD
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,344
- 479
Kama Kuna Mtu Binafsi Au Kikundi Cha Watu, Taasisi Binafsi Au Ya Uma,Mwananchi Wa Kawaida Au Chama Chochote Cha Siasa Ambacho Kina Ndoto Ya Kuingoa CCM Madarakani.Kikae Kikijua Bado Mapema Tu Kua Kinaota Ndoto Mchana Kweupee
CCM Ni "Chama Dola" Na Sio "Chama Cha Siasa".CCM Ni Zaidi Ya Mwenyekiti Wa CCM Na Katibu Wake,CCM Ni Zaidi Ya Makao Makuu Pale Lumumba,CCM Ni Zaidi Ya Mkutano Mkuu Pale Dodoma,CCM Ndio Raisi Wa Nchi Na Serikali Yake,CCM Ndio Viongozi Wakuu Wastaafu Na Walio Madarakni,CCM Ndio Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama,CCM Ndio Usalama Wa Taifa,CCM Ndio Tume Ya Uchaguzi(NEC),CCM Ndio Upinzani(Baadhi Ya Vyama Vya Upinzani Ni Matawi Matiifu Ya CCM)
Km Taasisi Zote Hizi Bado Ziko Nyuma Ya CCM.UKAWA Hata Kama Ingejiunga Na ODM(Kenya) Au FDM(Uganda).Swala La Kuing'oa CCM Madarakani Bado Itakua Ni Ndoto Ya Alinacha.
Twendeni Tukajiandikish Kw Wingi.EL Muachen Ajiunge Na UKAWA.Lakn Ukweli Utabak Palepale "Dr.JP Magufuli" Ndie Raisi Wetu Ajae.Utake Husitake Huu Ndio Ukwel.Ila Sio Jambo Baya Kuota Ndoto