CCM Ni "Chama Dola" Sio Chama Cha Siasa, haingoki Madarakani Ng'oo

CCM Kutoka madarakani iwe wamependa tu, kila kitu mfumo wote ni wao iweje washindwe? hao wapinzani wameweka matumaini makubwa sana kwa Lowasa kwamba atawasaidia kuchukua nchi lakini wamesahau kwamba tunaongozwa na Katiba ya 1977 baada ya kipigo watageuka kulalamika hakutakua na wa kuwasikiliza.

Hilo moja pia kuna Ushindi wa moja kwa moja ambao CCM wanaweza kupata, kuna watu wengi hawaungi mkono Lowasa kujiunga na CDM swali Iao ni kwamba zile harakati zakuijenga CDM kwa msaada wa Ruzuku ktk vichwa vyao haukutosha mpaka viongozi wanakodi Majeshi tena kwa kumuangukia Lowasa? Uhodari wa michango na Mafisi/kashfa ktk JF ni tofauti na hali halisi.

Dr Slaa alikua chaguo Zuri kwa CDM lakini maamuzi ya dakika za mwisho yanaweza kuididimiza, Risk ina faida kubwa na hasara kubwa tusubiri.

Kenya, Nigeria, Zambia, Malawi ilikuwaje?, hizi ni akili finyu na kukosa maarifa.... Vijana safari hii wanafanya uamuzi mgumu
 
Hoja za ukweli lakini za kifala na hazitosh
Rejea maneno ya mwenyekiti wako pale dom
Kisa njoo msikilIze na msekwa
Halafu nenda kasikilize vilio va wananchi waliochoka
vuta picha nyomi la ukawa na lowasa pale arusha alaf wachanganye pmj

Kama Ungeusoma Uzi Wangu Vizuri Husingecomment Kama Hivi Ulivyocomment.CCM Ni Zaidi Ya Mwenyekiti Unaemtaja.CCM Ni Zaidi Ya Mhe.Msekwa.CCM Ni Zaidi Ya Mzee Kingunge.
Hata CCM Ingekua Mbovu Kiasi Gani.Hata Wanamchi Wangelia Kiasi Gani Hawaitaki CCM Bado Hawanauwezo Wa Kuing'oa Madarakani.

Tume Ya Uchaguzi Ni Mali Ya CCM.Kama Jeshi La Ulinzi, Usalama Wa Taifa, Jeshi La Polisi, N.K Bado Viko Royal Na Serikali Ya CCM Husitegemea Kuitoa CCM Madarakani.
Fujo Zote Za Ukawa Zinaishia Mijini Kwa Sisi Tunaomiliki Smartphone, Tunansoma Magazeti, Tunoaangalia tv, Tunaosikiliza Redio Kila Siku Na Tuko Well Informed Na Mambo Ya Siasa.Ila Nenda Vijijini Uone Hali Ilivyo.Na Ndio Ushindi CCM Unapoanzia Na Wizi Wa Kula Unapofanyka
 
Kenya, Nigeria, Zambia, Malawi ilikuwaje?, hizi ni akili finyu na kukosa maarifa.... Vijana safari hii wanafanya uamuzi mgumu

ocampo four
hua nakufuatilia sana ktk post zako ndiyo maana hua nakurudisha kwenye Moody,

najua kwamba wewe ni muelewa huu ni uchaguzi hauna draw lazima mmojawapo ashinde najua wewe uko kwenye ushindi lakini Je? umejitayarisha kinyume chake?

usije kua kama timu zetu makocha wakifungwa ndiyo wanaanza visingizio nakutakia kila la heri.
 
jamaa kasema kweli wapinzani washapigwa bao la kisingino. ebu jamani tizameni huu uandikishaji tu si usanii mtupu. njia pekee ya kuiondosha Mafisadi CCM ni kuingia marabarani umma wote wa tz vyenginevyo ni kama alivosema jamaa hapa Raisi ni Pombe sasa kama ni mlevi subiri october upate kulewa.
 
Kama Kuna Mtu Binafsi Au Kikundi Cha Watu, Taasisi Binafsi Au Ya Uma,Mwananchi Wa Kawaida Au Chama Chochote Cha Siasa Ambacho Kina Ndoto Ya Kuingoa CCM Madarakani.Kikae Kikijua Bado Mapema Tu Kua Kinaota Ndoto Mchana Kweupee

CCM Ni "Chama Dola" Na Sio "Chama Cha Siasa".CCM Ni Zaidi Ya Mwenyekiti Wa CCM Na Katibu Wake,CCM Ni Zaidi Ya Makao Makuu Pale Lumumba,CCM Ni Zaidi Ya Mkutano Mkuu Pale Dodoma,CCM Ndio Raisi Wa Nchi Na Serikali Yake,CCM Ndio Viongozi Wakuu Wastaafu Na Walio Madarakni,CCM Ndio Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama,CCM Ndio Usalama Wa Taifa,CCM Ndio Tume Ya Uchaguzi(NEC),CCM Ndio Upinzani(Baadhi Ya Vyama Vya Upinzani Ni Matawi Matiifu Ya CCM)

Km Taasisi Zote Hizi Bado Ziko Nyuma Ya CCM.UKAWA Hata Kama Ingejiunga Na ODM(Kenya) Au FDM(Uganda).Swala La Kuing'oa CCM Madarakani Bado Itakua Ni Ndoto Ya Alinacha.

Twendeni Tukajiandikish Kw Wingi.EL Muachen Ajiunge Na UKAWA.Lakn Ukweli Utabak Palepale "Dr.JP Magufuli" Ndie Raisi Wetu Ajae.Utake Husitake Huu Ndio Ukwel.Ila Sio Jambo Baya Kuota Ndoto
Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga?
 
Kiswahiliii kigumu Ccm ni chama kilicho shika Dola kwa Muda please hata KANU ilitoka ccm hawana mkataba na Mungu
 
jamaa kasema kweli wapinzani washapigwa bao la kisingino. ebu jamani tizameni huu uandikishaji tu si usanii mtupu. njia pekee ya kuiondosha Mafisadi CCM ni kuingia marabarani umma wote wa tz vyenginevyo ni kama alivosema jamaa hapa Raisi ni Pombe sasa kama ni mlevi subiri october upate kulewa.
wewe mrundi?tuondoleeni Laana ya vifo. CCM anachinjwa mchana kweupe,anaufyata kama KANU
 
Kenya, Nigeria, Zambia, Malawi ilikuwaje?, hizi ni akili finyu na kukosa maarifa.... Vijana safari hii wanafanya uamuzi mgumu

Hizo Nchi Zote Unazozitaja Ni Baada Ya Kutokea Mipasuko Ndani Vyama Vikuu Vilivyokua Vinashika Dola Ndo Upinzani Ukapata Nguvu.Ni Baada Ya Viongozi Wakuu Kuamia Upinzani Ndo Upinzani Ukapata Nguvu.Lakini Kwa CCM Hali Ni Tofaut.Ukimuondoa Lowasa CCM Bado Ni Wamoja

Ila Lowasa Hana Ushawishi Mkubwa Serikalini Ambako CCM Ndiko Ilikoweka Mizizi Yake.Zaid Ya Ushawishi Mdogo Alionao Kwenye Chama Chake Kumbuka Lowassa Ana Miaka Takribani10 Hayuko Serikalin.

Nasema Lowassa Anaushawishi Mdogo Ndani Ya CCM Kwsbb Sio Wote Wanaomshangilia Lowasa Wanampenda Yeye Lowassa As An Individual.Ila Wengi Wao Wanaitegmea CCM Ktk Kuneemesha Matumbo Yao.Kwhy Wao Wanachohitaj Ni Mtu Ambae Ataifany CCM Iendelee Kuwepo Madarakan Hata Km Wanajua Ni Fisadi Kiasi Gani.Ili Mradi Tu Maslai Yao Yanalindw.Kwhy Kuondok Kwa Lowasa Kutawafany Watafut Mbadala Wake Lkn Sio Kuhama CCM
 
Ukisikia mgonjwa mahututi anataka kwenda haja kubwa, basi anza kuwapigia ndugu zako ili waanze kuandaa maturubai.
 
Uzuri CCM huwa haina papara hata kidogo na inawasikiliza kwa umakini sana na mbwembwe zao za kuiondosha madarakani wakati nguvu hawana wametawaliwa na njaa na uroho wa madaraka!
 
Kama Tanzania ni shamba la kikwete na kampani yake ndio itakua hivyo tena usijaribu kusema goli la Mkono wakati nguvu ya umma ipo ya kutosha kitaani wanasubiria tu saaaaaaaaaa kamata.

Aliondolewa gadafi atakuwa mr dhaifu usicheze na nguvu ya umma we -----.

Siasa za kiharakati bado sana Tanzania, watu bado wanapenda kula ugali na maharage, au nani yuko tayari kuwaacha watoto wake yatima huku akijua kuwa uwepo wa wanasiasa wa Tanzania ni sawa na kutokuwepo tu?

Watanzania wanapiga kura tu hayo mengine wanawaachia wanasiasa wajuane wenyewe, hakuna atakayekubali kupambana na vyombo vya dola kisa tu hawakubaliani na matokeo.
 
Back
Top Bottom